Hivi wasichana wanaangalia nini kwa wanaume?

Jamaa hana tamaa kwa jinsi nilivomchukulia approach yake kwa huyo dada siku hiyo! Hakuwa na nia mbaya.

Ina maana siku zooooote hizo alikuwa hajaona mtu wa kumfaaa,ila ghafla bin vuu ikatokea mlimani citi? Maana uliema uvumilivu ulimshinda na hii inaonyesha huyu jamaa hajatulia kabisaaaa,usimtetee.Au ni wewe nini unatuyeyu! Lakini alilen leson yake,hatarudia tena papara,kwani si vyote ving'aavyo ni dhahabu.
 
Nachosema mimi tusijudge kwa kutumia story ya upande mmoja, je tumeambiwa conversation nzima ilivyoenda? waht if baada ya kuona mdada hamshobokei jamaa ndo alianza kutoa kshfa kama mjuavyo zile za sizitaki mbichi hizi? labda alianza yeye kukashfu ndo naye akapewa kubwa? what if, what if........, Tusipende kujudge sana wakati hatujui upande mwingine wa story, thats my point.
 
hahaa jamani Nyamayao we mchokozi!!!! kwani vina shida gani vya kuchonga jamani???


unajua bht hawa wanaume wakati mwingine wanakwaza sana, unaweza kucmamishwa na mtu we akili yako imekutuma labda kapotea njia umuelekeze matokea yake anaanza oohh ahhh zake...mie nabakigi jamani mbona hivi.
 

Hivi unafikiri jasiri anaacha asili. Unaweza kukuta huyo ni mwanamke wa 20 anamtukana na jamaa hakati tamaa! Watu wana fani zao bana!
 
unajua bht hawa wanaume wakati mwingine wanakwaza sana, unaweza kucmamishwa na mtu we akili yako imekutuma labda kapotea njia umuelekeze matokea yake anaanza oohh ahhh zake...mie nabakigi jamani mbona hivi.

Msipotongozwa mnajisikia vibaya, mkitongozwa mnatukana. Mnataka tuwabake?
 
Sasa Nyamayao,hebu fikiria,huyo dada aliyemjibu jamaa kwamba unanuka pale Mlimani city siku akikutana nae ofisi moja kama wafanyakazi,ile picha ya kuambiwa 'UNANUKA' itafutika?


kweli hakumjibu kistaarabu kabisa,lakini c watoto wa kimjini mnaowataka?
 
Hahahaha! Sasa Mlimani City alienda kufanya nini? Si angejimwaga zake kambi ya fisi akajipakulie vyake?

Mlimani City tulienda kama outing maana tulitokea Lufungira kwenda kutembea ikabidi njiani tukubaliane kwenda pale Mlimani city! Just for pleasure mkuu!
 

Unajua hivi vitu huwa vinatokea bila hata mtu kujijua,jamaa alimuona msichana huyo mzuri kwa mtazamo wake na akatimiza mwitikio wa moyo wake kabisa,hata mimi na yeye tulimuona yule msichana.Siyo kwamba namtetea anaweza akawa alimuona nyuma lkn hakumpata lkn huwezi jua kama huyo atakuwa mwenzi wake siku za usoni!
 
haaa huyu mrembo mbona hana adabu ..anamtamkia mwanaume rijari ananuka hee ..
 
Mkuu Abdulhalim nakupa tano. Mwishowe wasichana wanaishia kuwa wasagaji!!
Wengi ni wazuri kwa nje tu, lakini ndani hawajui mapenzi wala hawana upendo.

Mkulu hilo nalo neeeeeno... Warembo hasa wa mjini wanaigiza hadi maisha yao ya kila siku... Wengi wao wanapenda kinakifiki!Bora niwe Super Bachelor!

siku hizi wote wafanyabiashara 2 wanaangalia zaidi pesa hamna cha mwonekano wala nini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…