bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,873
unajua bht hawa wanaume wakati mwingine wanakwaza sana, unaweza kucmamishwa na mtu we akili yako imekutuma labda kapotea njia umuelekeze matokea yake anaanza oohh ahhh zake...mie nabakigi jamani mbona hivi.
hahaaa!!! inaudhi afu eti wewe ndo unasimama mwenyewe tayari kutoa msaad kumbe limjamaa lina ajenda yake!!!
siku moja kanisimamisha jamaa imagine asubh naenda kazini huku kashika kichapati chake kimefungwa kwenye gazeti.......loh God forgive me...tena anakigugumizi eti dada smahani, una haraka!!!!???? (kilichoendelea kila mtu anaweza kuimajini apendavyo)
hahaaaa sitaki kukumbuka jamani mamen bana aah!!!