Hivi wasichana wanaangalia nini kwa wanaume?

unajua bht hawa wanaume wakati mwingine wanakwaza sana, unaweza kucmamishwa na mtu we akili yako imekutuma labda kapotea njia umuelekeze matokea yake anaanza oohh ahhh zake...mie nabakigi jamani mbona hivi.

hahaaa!!! inaudhi afu eti wewe ndo unasimama mwenyewe tayari kutoa msaad kumbe limjamaa lina ajenda yake!!!

siku moja kanisimamisha jamaa imagine asubh naenda kazini huku kashika kichapati chake kimefungwa kwenye gazeti.......loh God forgive me...tena anakigugumizi eti dada smahani, una haraka!!!!???? (kilichoendelea kila mtu anaweza kuimajini apendavyo)

hahaaaa sitaki kukumbuka jamani mamen bana aah!!!
 
Msipotongozwa mnajisikia vibaya, mkitongozwa mnatukana. Mnataka tuwabake?

wengine hatutongozeki kwasasa, lakini ukweli ni kwamba hamuangalii mazingira/jinc ya kumtokea mtu, nyie mkimuona tu mtu mnakurupuka, nikiwa moshi nipo mr price natafuta hiki na kile, mkaka from no where tu akaanza oooh aahhh, mie nipo jamani balaa halipigi hodi mbona huyu mkaka kaniona naingia na mr lakini anajifanya kama hajaona vile? nilibaki naduwaa tu cna hata cha kumjibu.
 
hahaaa!!! inaudhi afu eti wewe ndo unasimama mwenyewe tayari kutoa msaad kumbe limjamaa lina ajenda yake!!!

siku moja kanisimamisha jamaa imagine asubh naenda kazini huku kashika kichapati chake kimefungwa kwenye gazeti.......loh God forgive me...tena anakigugumizi eti dada smahani, una haraka!!!!???? (kilichoendelea kila mtu anaweza kuimajini apendavyo)

hahaaaa sitaki kukumbuka jamani mamen bana aah!!!

Afu una bahati wewe! Asubuhi asubuhi zali linakutokea? Ehe, ukampa kontakti au? Sema tu. Hayo mambo ya chapati najua unazuga tu!
 
haaa huyu mrembo mbona hana adabu ..anamtamkia mwanaume rijari ananuka hee ..

mweee!!! happy new year FL1!!!! Ukaenda moja kwa moja jameni hizo trirment ulizopata huko naona na signacha imechange sasa. now tis bizness wallah!!!!
 
wengine hatutongozeki kwasasa, lakini ukweli ni kwamba hamuangalii mazingira/jinc ya kumtokea mtu, nyie mkimuona tu mtu mnakurupuka, nikiwa moshi nipo mr price natafuta hiki na kile, mkaka from no where tu akaanza oooh aahhh, mie nipo jamani balaa halipigi hodi mbona huyu mkaka kaniona naingia na mr lakini anajifanya kama hajaona vile? nilibaki naduwaa tu cna hata cha kumjibu.

Mr. wako ameokoka?
 
Hahahaha Nyamayao unasimama unamsikiliza sera labda ana sera nzuri msikilize kisha mjibu kwa ungwana sio unamjibu kwa matusi na nyodo juu utashangaa kesho mmekuwa wachumba mm iwa mnanishangaza sana wanawake.
 
Afu una bahati wewe! Asubuhi asubuhi zali linakutokea? Ehe, ukampa kontakti au? Sema tu. Hayo mambo ya chapati najua unazuga tu!

hahaaa!! afu we Iribini wewe!! u knw me well!!!! kwani alipata hata muda wa kuomba kontakti zenyewe????
 
Hivi wewe ukipita rodini wiki nzima hujasimamishwa ili utongozwe au japo kupigiwa mluzi unajisikiaje? Be frank!

Frankly najionea kawaida tu kwa kweli wiki nzima sijaitwa kwa sababu currently i have a lot of staff to work on and think about mpaka nianze kusikitika sijatongozwa. shughuli yake sasa miezi ipite kama miwili hivi najiona nishakuwa outdated or something is wrong with me 🙄
 
mweee!!! happy new year FL1!!!! Ukaenda moja kwa moja jameni hizo trirment ulizopata huko naona na signacha imechange sasa. now tis bizness wallah!!!!

Hahaha! Tritiment za matenite livu si za mchezo! Atakuwa kanenepa vibaya!
 
wengine hatutongozeki kwasasa, lakini ukweli ni kwamba hamuangalii mazingira/jinc ya kumtokea mtu, nyie mkimuona tu mtu mnakurupuka, nikiwa moshi nipo mr price natafuta hiki na kile, mkaka from no where tu akaanza oooh aahhh, mie nipo jamani balaa halipigi hodi mbona huyu mkaka kaniona naingia na mr lakini anajifanya kama hajaona vile? nilibaki naduwaa tu cna hata cha kumjibu.

Nyamayao nina swali kwako;mimi nimekuona wewe let say pale Mr. Price,sawa,sasa nikakuona umrembo mzuri mwenye mvuto na nikatamani nikufuate nimwage sera zangu kwako,ghafla akatokea shangazi yako akakuomba umpeleke labda Shoprite au nje ya Mlimani City,sasa mimi nikupate wapi wewe?

Kwa yale mazingira nimeshindwa kukupata wewe,ndo maana wanaume wanatumia njia hiyo ili kuacha kumbukumbu na mengineyo,lkn midada linajifanya kumsahau mtu,hii tabia ipo sana hasa kwa wadada!
 
wengine hatutongozeki kwasasa, lakini ukweli ni kwamba hamuangalii mazingira/jinc ya kumtokea mtu, nyie mkimuona tu mtu mnakurupuka, nikiwa moshi nipo mr price natafuta hiki na kile, mkaka from no where tu akaanza oooh aahhh, mie nipo jamani balaa halipigi hodi mbona huyu mkaka kaniona naingia na mr lakini anajifanya kama hajaona vile? nilibaki naduwaa tu cna hata cha kumjibu.

ona sasa!!! hata hawasomi ramani ya vita....wankurupuka tu sasa hapo kakaangu angempa kibano tena iwe balaa!!!
 
Alafu nasikia nyie akinadada usipi simamishwa barabarani mwezi mmoja lazima uende ukaoshe nyota hii vp ni kweli? maanake unagundu balaa haijalishi umeolewa au hujaolewa.
 
Frankly najionea kawaida tu kwa kweli wiki nzima sijaitwa kwa sababu currently i have a lot of staff to work on and think about mpaka nianze kusikitika sijatongozwa. shughuli yake sasa miezi ipite kama miwili hivi najiona nishakuwa outdated or something is wrong with me 🙄

Thats my girl! Umekula Senksi! Kwa hiyo kutongozwa dili siyo? Ishu inakuwa kukubali au kukataa, siyo? Sasa hilo shenzy taipu linatongozwa badala ya kufurahi lenyewe linatukana. Shwaini!
 
Hahahaha Nyamayao unasimama unamsikiliza sera labda ana sera nzuri msikilize kisha mjibu kwa ungwana sio unamjibu kwa matusi na nyodo juu utashangaa kesho mmekuwa wachumba mm iwa mnanishangaza sana wanawake.

kuanzia nimeanza ku approachiwa mpaka nazeeka cjawahi mjibu mtu nyodo, namwambia tu "halitawezekana kaka yangu"...kwa mcctizo.
 
usiniambie kuna continuation sema we umekat shoti

unajua angetilia"

"Usinione mzembe, kupata ni majaliwa,
Ndevu amekosa ng'ombe, lakini mbuzi kapewa,"

.....
 
Back
Top Bottom