Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Hilo nalo swali .........
Kagonge senksi basi kule...............
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo nalo swali .........
Tatizo hata nyie wanaume mnapojipresent kwa wadada mnakwenda huku mkijionyesha kwa pesa na siyo nyie kama nyie mkiwa na moyo ulojaa upendo.
matamaa yametawala sana, huyo mkaka atakuwa ana wake kilichompeleka kwa hyo dada ni tamaa tu hakuna kingine, na mdaa kama angemuona ni type yake ijapo kuwa nae ana wake lakini angeunganisha tela kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake....kupimana imani tu huko mwehh! tamaa jamani wakaka mpunguze tamaa, nyie ndio vyanzo...mami happy new year.
Halafu na wewe mbona hukunitakia heri ya mwaka mpya? Wanawake wengine wakijibu kibabe ndio wanaona dili eti!
Hivi hizi tamaa tunazo peke yetu? Mbona tukiwatongoza hamkatai? Wote tuna tamaa bana, sema tu nyie waoga kurusha ndoano! Acheni zenu hizo.
luv jamani mbona niliku pm humu?.....lakini na nyie kila kizuri mkionacho mnakitaka?..na kina dada nao wanaona kabisa huyu mtu hawezi kuwa nami kutokana na nyie kukurupuka ndio mnakutana na wenye adabu za mawazo mnapewa majibu kaam hayo.....jirikebisheni.
Nimekugongea..lakini si kwa upwaaaz bali kwa swali lenye point .......... maana mimi si mpwaaaz..........Kagonge senksi basi kule...............
Mhh angalieni na level zenu bwana, mwanamke lazima ufanane naye matawi ya juu yaacheni bwana
Nimekugongea..lakini si kwa upwaaaz bali kwa swali lenye point .......... maana mimi si mpwaaaz..........
hahahaha! Naona labda invizibo aliiteka nyara pm yako! Ana wivu huyu jamaa, we acha tu. Si vibaya ukinitakia tena, kwa afya yangu tafadhali.
Nimekugongea..lakini si kwa upwaaaz bali kwa swali lenye point .......... maana mimi si mpwaaaz..........
happy new year ma sweetheart.....
matamaa yametawala sana, huyo mkaka atakuwa ana wake kilichompeleka kwa hyo dada ni tamaa tu hakuna kingine, na mdaa kama angemuona ni type yake ijapo kuwa nae ana wake lakini angeunganisha tela kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake....kupimana imani tu huko mwehh! tamaa jamani wakaka mpunguze tamaa, nyie ndio vyanzo...mami happy new year.
Hawa wanaume wanayataka wenyewe wala wasilalamike.Duniani kuna watu wa kila aina na tabia.Kuna wanaume wenye mashauzi na wanawake wenye nyodo.
Tena kuna wanaume (hasa wanamuziki na wasaluni) wanaoangalia mijimama yenye fedha ili waichune,ndio kusema hapo kweli wana mapenzi ya dhati.
Mitamaa imewazidi na mnadhani pesa ndio silaha yenu.sasa yanawakuta kama hayo mnalalamika.
Same to you darling! Leo ntakunywa serengeti mbili kwa afya yako then ntahamia kwenye valeur kudumisha mila. Turudi kwenye mada sasa: Hivi kila mwanaume ana level yake? Utaijuaje level yako? Mi naamini mapenzi hayana level!
haswa usikute jamaa alienda na mkwara ati anazo akautana na jibu la kushiba!!!
Hawa wanaume wanayataka wenyewe wala wasilalamike.Duniani kuna watu wa kila aina na tabia.Kuna wanaume wenye mashauzi na wanawake wenye nyodo.
Tena kuna wanaume (hasa wanamuziki na wasaluni) wanaoangalia mijimama yenye fedha ili waichune,ndio kusema hapo kweli wana mapenzi ya dhati.
Mitamaa imewazidi na mnadhani pesa ndio silaha yenu.sasa yanawakuta kama hayo mnalalamika.
hapa level ninayoizungumzia ni utofauti uliopo kimuonekano labda naweza kusema, kuna mtu unaweza kumuangalia hivi tu na ukaona huendani nae, kimaongezi/ustaarabu nk.