Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Mimi sio mashabiki wa siasa
Ninacho penda ni real changes sio kubwabwaja tu.
Je, kwa kinacho endelea na vuguvugu hili la kisiasa kuna any possibilities ya any changes any soon?
Au ndo tunajiburudisha tu kama miaka yote? Na CCM watarudi na kitu kipya? Na kutufunika macho kama kawaida yao?
Je, Lissu na kesi yake atatatoka kidedea?
Sijafuatilia kesi kwanini? Naona kabisa it is meaningless kimtazamo ni kama Nime kata tamaa na kurudiwa kwa kile kile miaka nenda miaka rudi. Na hii ndio mindset ya watanzania wengi... They're just living to get by, no one is really caring about anything concerning liberation of this nation.
Ila kinacho ni fikirisha ni kwamba je, watanzania wana huo uelewa ambao wachache wanawapigania?
Mtanzania wa kawaida hana awareness ya limits za uhuru wake. Hana freedom of expression. Hana guts za kuuliza disfunction za uongozi mbaya na kutekwa kwa watu.
Mtanzania wa kawaida akitoa kuandamana au kujaribu kupaza sauti yake, anakuwa prone kuuwawa. Je, huyu Mtanzania wa kawaida anawezaje kumsaidia kuzileta hiyo change kama tu awareness ya limits za uhuru wake iko restricted?
Jamani, ndio tu napambana ila tumkumbuke watanzania ni waoga sana. Watanzania tuna utamaduni wa kupuuza vitu vya muhimu, kuanzia on a family level.
Mtu kwenye familia akionekana anapenda haki, anaonekana kichomi. Watu ndugu kwa ndugu wanafanya a uhasama, wao kwa wao wanageukana alafu leo uje useme waungane kupigania taifa?
Unafikiri chadema iongizwayo na Lissu ndio itakomboa hii nchi pekee?. Hili swali tunajua kuwa so kweli....!
Ila watz bado wana inset kudhani Lissu pekee ataikomboa hii nchi... That's so wrong...
We need to unite as a nation,
Wangapi leo wamefatilia kesi,
Kwa hii Tz hata asilimia 30 ni kubwa!
. Kila mtu yuko bize na mishe zake, hakuna anaye jali.
Ukweli ni kwamba we are deluding ourselves. Ninaandika haya kwa uchungu nikiwa najua where this leads.
As a society we need to bring that awareness of Change to the masses tuache kujidanganya.
Kuna clip moja niliona watoto wa wazungu wako primary. Wanaimba katiba na sheria muhimu kama mashairi.
What a about watoto wetu? Hata hiyo katiba yenye makosa iliyopo hawajui.
Ndugu zangu hili tunalo lipigania sio la Chadema au Lissu pekee na ni jukumu la kila wananchi kujua sio kuwaachia wengine.
Jauwezi kusema unataka mabadiliko kazini wakati nyumbani kwako tu familia inakushinda kuongoza.
Basi nisiachoshe de Gunner leo nimeona nami nitoe mtazamo wangu juu ya kinacho endelea na uhalisia uliopo. Binafsi sio mfuatiliaji kabisa wa siasa. Ila this is my little perspective.
Mshana Jr Pascal Mayalla binti kiziwi ShesRise_1 Quinine