Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,583
- 27,838
Nafahamu kwamba tunawahudumia kama nchi familia ya Rais aliyeko madarakani kwa maana ya malazi, chakula, usafiri, ulinzi, Elimu mpaka harusi na mazishi.
Sasa je, hiyo huduma huwa inakoma wanapomaliza Urais au inaendelea? Na je kama inaendelea ni wapi mwisho?
Nafahamu kama Raisi mstaafu akifariki ni sawa kumhumdumia Mke wake wake aliyebakia, lkn je na Mke wake akishafariki pia tutaendelea kuhudumia waliobakia?