Hivi Watoto na Wajukuu wa Marais wastaafu tunawahudumia pia?

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,583
Reaction score
27,838
Nafahamu kwamba tunawahudumia kama nchi familia ya Rais aliyeko madarakani kwa maana ya malazi, chakula, usafiri, ulinzi, Elimu mpaka harusi na mazishi.

Sasa je, hiyo huduma huwa inakoma wanapomaliza Urais au inaendelea? Na je kama inaendelea ni wapi mwisho?

Nafahamu kama Raisi mstaafu akifariki ni sawa kumhumdumia Mke wake wake aliyebakia, lkn je na Mke wake akishafariki pia tutaendelea kuhudumia waliobakia?
 
Bora kuwahudumia kuliko kuwapa uongozi wa nchi. Watafufua madudu ya baba zao na babu zao.
 
Jamani mleta mada anataka kufahamishwa anaambulia mipasho. Kama kuna mtu anafahamu hilo umuelekeze tu yaa nn majungu
 
Kaulize kwenye kikao chenu CCM mwehu wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila siku tunapiga kelele hapa jamvini, kwamba tuna KATIBA YA HOVYO MNO ambayo immefanya Rais kuziweka MFUKONI mihimili yote na kuongoza nchi kwa MKONO WA CHUMA. Wewe si huwa unabisha kwa hoja za kipuuzi na kejeli? Nenda kawaulize akina Polepole na Bashite, huko kwenye vikao vyenu vya CCM. Mwenda.wazimu wewe.
 
Royal family hiyo wanaendelea kula mema ya nchi...

Machifu tu bado wana kula mema ya nchi... Hivyo sio tatizo wala ubaya kwa marais na familia zao kuhudumiwa, tuwa hudumie tu...
 


Umebanwa na haja kubwa au shida ni nini? Kwa nini hauendi chooni kwanza.
 
Umebanwa na haja kubwa au shida ni nini? Kwa nini hauendi chooni kwanza.
Kama umebanwa kwa nini huendi chooni? Unataka kutunyea hapa ili iweje we p.u.nga wa lumumba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…