Hivi watu hawa viungo vyao vinafanyakazi kweli?

Hivi watu hawa viungo vyao vinafanyakazi kweli?

Mzee Saliboko

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2018
Posts
1,311
Reaction score
1,018
Wapendwa poleni na majukumu.

Kwaajili ya kuelimisha nahitaji kufahamu vizuri kuhusu kundi la binadamu ambao wanajinsia 2 (hymophroditism) kama sijakosea na binadamu wenye muonekano wa kike lakini wanauume bila uke.

Wanahisia kweli za kimapenzi?

Karibuni.
 
Wapendwa poleni na majukumu. Kwaajili ya kuelimisha nahitaji kufahamu vizuri kuhusu kundi la binadamu ambao wanajinsia 2 (hymophroditism) kama sijakosea na binadamu wenye muonekano wa kike lakini wanauume bila uke.
Wanahisia kweli za kimapenzi....karibuni.
hermaphroditism.

Si lazima awe na muonekano wa kike.
Wapo wenye muonekano wa kiume lakini maungo ya kike kuwa na nguvu zaidi.

Hisia wanakuwa nazo kulingana na hormones zipi zipo zaidi kwenye mwili wake na jinsia ipi iliyokuwa hai zaidi.

Ni nadra kukuta mwenye maungo yote kuwa active. Lazima moja itazidi nyingine nguvu.

Akiwa na hormones zaidi za kike basi atakuwa na hisia za kike zaidi kupenda wanaumw halkadhalika ikiwa ana hormones za kiume zaidi atakuwa na hisia za kupenda wanawake zaidi. Hii yote pasi kujali ana muonekano gani kwa nje.

Mfano mzuri ni Castor Semenya, mwanariadha wa Afrika Kusini. Ana maungo yote mawili na alikuzwa kama mwanamke lakini hisia zake na hata haiba yake ni ya kiume. Na hivi sasa anaishi kama lesbian lakini kiuhalisia ni mwanaume kabisa.
 
Hiyo sijui kama ipo.mkui, ninachojua wapo wemye two in one, ila sio et Ana kila kitu cha kike afu ana chuma hapana hao ni She_male na wanakuwa due to Plastic surgery
Hao shemalle nao inafanya kazi kweli? Maana kama ni kweli picha tuzionazo unakuta kiumbe chenye muonekano wa kike kina mashine hasa
 
Wapendwa poleni na majukumu.

Kwaajili ya kuelimisha nahitaji kufahamu vizuri kuhusu kundi la binadamu ambao wanajinsia 2 (hymophroditism) kama sijakosea na binadamu wenye muonekano wa kike lakini wanauume bila uke.

Wanahisia kweli za kimapenzi?

Karibuni.
Usije ukaitumia tena hiyo terminology(Hermaphrodite) kutambulisha binadamu wenye maumbile mawili , terminology inayotumika ni "INTERSEX".
 
Back
Top Bottom