Hivi watu hawa viungo vyao vinafanyakazi kweli?

Hivi watu hawa viungo vyao vinafanyakazi kweli?

Wapendwa poleni na majukumu.

Kwaajili ya kuelimisha nahitaji kufahamu vizuri kuhusu kundi la binadamu ambao wanajinsia 2 (hymophroditism) kama sijakosea na binadamu wenye muonekano wa kike lakini wanauume bila uke.

Wanahisia kweli za kimapenzi?

Karibuni.
Kwa kuzaliwa hakuna watu kama hao.
Ila wanajitengeneza kutumia dawa na upasuaji.
 
Hao shemalle nao inafanya kazi kweli? Maana kama ni kweli picha tuzionazo unakuta kiumbe chenye muonekano wa kike kina mashine hasa
Hao ndio Shemale mara nyingi huwa Wanaune anapigwa Surgery anaweka maziwa ila chini anachuma haswaa na sio wakuzaliwa hawa!!

Japo kuna wale wenye two in one jina lao limenitoka kidogo hawa utakuta jinsia moja ndio inanguvu sana nyingine dhaifu
 
Wapendwa poleni na majukumu.

Kwaajili ya kuelimisha nahitaji kufahamu vizuri kuhusu kundi la binadamu ambao wanajinsia 2 (hymophroditism) kama sijakosea na binadamu wenye muonekano wa kike lakini wanauume bila uke.

Wanahisia kweli za kimapenzi?

Karibuni.
Hao wenye muonekano wa kike wanahisia kama wanawake kabisa ama hata kuzidi.
 
Biblia na Quran imetoka Adam na Hawa tu sasa hao wana scientist sijui wamewatoa lab hao wengine[emoji1787]
Adam na Hawa walikua walemavu?
Adama na Hawa walikua Wagumba na Tasa?

Je, hawa Walemavu, Wagumba na Tasa wametoka wapi?

Muwe mnatumia akili kidogo, Dini zisiwafanye kua mazezeta.
 
Wapendwa poleni na majukumu.

Kwaajili ya kuelimisha nahitaji kufahamu vizuri kuhusu kundi la binadamu ambao wanajinsia 2 (hymophroditism) kama sijakosea na binadamu wenye muonekano wa kike lakini wanauume bila uke.

Wanahisia kweli za kimapenzi?

Karibuni.
Kama huyu 😎
 
Attachments

  • IMG-20220921-WA0022.jpg
    IMG-20220921-WA0022.jpg
    44.8 KB · Views: 8
Back
Top Bottom