kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Hivi watu mnaokaa huko Manzese, Tandale, Buguruni, Vingunguti, hadi mwananyamala mnasavaivu vipi kipindi hiki cha joto kali na ukame??
Najiuliza nakosa majibu kabisa, huko hakuna AC huko nyumba zimesongamana hata gari haiwezi kupita.
Humo hakuna miti kabisa, huko kuna shida za maji tu, yaani ni dhiki tu, na joto hili mnaishije
Nakumbuka niliwahi kwenda mitaa fulani nyuma kabla hujafika matumbi, kibarabara kinachoingilia ule mtaa wa kiwanda cha sijui cha nida kuna ule mto humo kwenye huo mtaa hakuna mti hata mmoja,nyumba zimebanana gari haiwezi kupita hata bodaboda pananuka dhiki na uchafu kila mahali, kulikua na joto utadhani wanaishi ndani ya tanuru.
Sijui mnaoishi hayo maeneo mnasavaivu vipi?