Hivi watu mnaokaa uswahilini mnasavaivu vipi kipindi hiki cha joto kali?

Washazoea hiyo hali

Kuna sehemu ukifika mfano mazizini ile harufu ya pale wenyeji hawaisikii Ila wageni wanaisikia
Keko hapa kona kwenye depot ya bia pale 🤣🤣kuchafu sana ,halafu kuna mabibo mwisho ..
 
Nilishawahi ishi Ilala Msimbazi bondeni kwenye nyumba haina umeme. Hapo nilikuwa nimepewa hifadhi na jamaa yangu mmoja wakati nimekuja Dar kujitafuta. Ilikuwa miezi kadhaa ya dhiki kuu. Kulikuwa na mbu ambao hawaelezeki kirahisi balaa lao. Hilo joto lilikuwa sio poa. Mimi nilikuwa nikiamka asbh ni kwenda tu Kkoo hata kama sina ishu. Cha kushangazana ule mtaa kwa kuchakatana sijawahi ona. Watu hawajali joto wanatiana mchana. Nilipata uzoefu mkubwa sana wa haya maisha.
 
Ha hahahahahahahaha hahahahahahahaha hahahahahahahaha hahahahahahahaha hahahahahahahaha hahahah🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😁😁😁😁😁😁😁😁😁😄😄😄😄😄😄😃😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣......AISEH!
 
Nimecheka!
Wanaiba wavu wa dirisha mtu akiwa katoka ama

Hata ukiwepo wanapita nao tu, ni rahisi kuuchomoa ukishabandua zile "papi" za mbao zinazowekwa kuushika wavu...

Uswazi unaibiwa nguo ukiacha nje na kamba yake ya kuanikia, watu wanatembea na vyombo, viatu, ndala, yebo, waya wa dish/antenna...
 
Jifunze sana kuishi maisha yako.
Uliwahi sikia wamewalalamikia nyie mnaoishi kidoni!!!?

Tabu zetu zisikusumbue wewee!!!!
Mtoa mada ana udoni umetokea wapi
 
Wewe kama unaishi mwananyamara, tandale, buguruni, na manzese tafadhali Sana usimcheke mwijaku anakuzidi kimaisha yule
 
mababu zako walioishi miaka ya 1800 kwenda 1900 walisavaiv vip............ ?
 
Ila ushuani kupata sonona njenje. Watu hakuna mawasiliano kila mtu na maisha yake. Hakuna ujirani mwema mnapishana kwenye magari kama nyangumi kwenye maji. Maisha ya ushuani ni mazuri ila nikiangalia watoto wanaamka rafiki zao wako shule tu inaleta shida. Uzuri wako wa maisha hayo hakuna videsturi vya uswahilini
 
Nyie jamaa mnachekesha sana🤣🤣🤣🤣
 
Basi wekeni AC
Uweze kuweka AC na kuigharamia na uishi huko uswahilini? Sidhani mkuu, AC sio kwa ajili ya watu wa chini, ni ghali kuihudumia(kununua umeme wake)
 
joto kama hili alafu jirani yako kafungulia sabufa sauti ya juu unaweza ukadata
 
Washazoea hiyo hali

Kuna sehemu ukifika mfano mazizini ile harufu ya pale wenyeji hawaisikii Ila wageni wanaisikia
Samahani mkuu,

Hivi kwa mfano ukaenda sehemu Kuna harufu Kali ...je unaweza kuisikia harufu ?
Yaani harufu zinatoa sauti ?
 
Hatari sana, maeneo kama Dar halafu na Tanga hasa mjini Yana joto sana labda ukae na AC muda wote...Sasa hivi kama upo Dar na una hela basi AC utainunua maana huwezi kulala na unateseka na pesa zako, uchuro utakuwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…