Hivi watu mnaokaa uswahilini mnasavaivu vipi kipindi hiki cha joto kali?

Nyie jamaa mnachekesha sana🤣🤣🤣🤣
😄 Mwanangu inachekesha ila omba isikukute. Mbaya zaidi kuna manzi hiyo mitaa alinikataa kikatili sana. Unajua wale mademu wanaoonekana viruka njia halafu akukatae? Ilikuwa maumivu makali.
 
Kuna feni aisee
 
😄 Mwanangu inachekesha ila omba isikukute. Mbaya zaidi kuna manzi hiyo mitaa alinikataa kikatili sana. Unajua wale mademu wanaoonekana viruka njia halafu akukatae? Ilikuwa maumivu makali.
Ulienda kwa pigo za ushuani. Huko hawatongozwi anaitwa Dinner au lunch anakuja hajavaa chupi. Mkimaliza unamtoa ya kula usiku na nauli
 
Hatari sana, maeneo kama Dar halafu na Tanga hasa mjini Yana joto sana labda ukae na AC muda wote...Sasa hivi kama upo Dar na una hela basi AC utainunua maana huwezi kulala na unateseka na pesa zako, uchuro utakuwa.
Yapo maeneo machache dar hii hii tunalala bila feni wala AC ni kaupepo flani kazurii
 
Ukute muanzisha sredi yupo zake Kwa Binti Madenge, kibarazani anashusha nondo kunanga wenzie🤣🤣🤣🤣
 
Usiku kulikuwa na joto Sana imefika alfajiri sijui baridi imetokea wapi na upepo
 
Ukiacha yote sijui kuna ugomvi gani kati ya miti na watu masikini, wanachukia sana miti utakuta anakata mti ambao unamletea kivuli nyumbani kwake ukimuuliza anakwambia majani yake yanadondoka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…