Hivi watu mnaokesha au mnaolala usiku wa manane mnapata faida gani?

Hivi watu mnaokesha au mnaolala usiku wa manane mnapata faida gani?

aise

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2018
Posts
8,724
Reaction score
24,474
Leo nimekaa na washkaji tunatia stori za hapa na pale mara ikaingia stori ya kulala mapema.

Kwa kweli mimi ni mtu wa kulala mapema sana, kwa kawaida saa mbili mimi tayari niko home nimetulia.

Saa tatu ikifika na siko home ujue nimetingwa na jambo fulani lenye ulazima sana.

Sasa washkaji zangu wenyewe wanatamba kuwa wanalala usiku mwingi sana, saa 7, 8 9 au hata kukesha kabisa.

Sasa usiku huu tumetoka wote ila kwakweli sioni chochote cha ajabu zaidi ya kulimis godoro langu na shuka.

Sina usingizi mwingi, ila naona nauchosha mwili pasipo sababu ya maana.

Wenzengu mnaokesha huwa mnapata faida gani?
 
Kila mtu ana lifestyle na uhitaji wake wa wakati fulani, mfano, Me nilipokuwa naishi na GirlF wangu nilikuwa mtu wa home sana, Outings na mizunguko nilikuwa sina kabisa iwe mchana au usiku (usiku ndo sipendi kabisa till now) Wana wakawa wanashangazwa na mimi hadi kufikia kuniita "Mvivu" Nimekuja kubadilika baada ya breakup na GirlF wangu kwa sasa mchana natoka sanasana nikipata time, Wakati mwingine nafeel bored kabisa kumaliza siku nikiwa home.

Hivyo hivyo mimi kulala mapema hapana asee hadi nishuhudie maybe saa 7-8 na hakuna sababu ya msingi sana ni mazoea tu, Usiku umetulia unampa mtu nafasi ya ku-concentrate na kitu anachokifanya.
 
Nipo zangu kitandani tokea saa 2,

Kulala ni saa 7+

Nikipatwa na usingizi mapema,nashtuka saa 7/8 mida ya wachawi hii mida ni lazima niwe macho ata kama nikilala saa 6 ni lazima saa 7/8 niwe macho na kuupata tena usingizi inakuwa ishu.
 
Kuna ishu nakimbizana nayo kwa sasa kulala ni saa 7 au 8 usiku,, ila mwanzoni niliteseka sana kuzoea hali hii
 
Umesema unalala mapema UZI umeandik saa 7 ucku,tueleweje mkuu,
 
Mie nikilala mapema basi saa 8,9 hivi usingizi hakuna.
 
Manzi wako ninaye hapa nami najipigia.
Kila mtu ana lifestyle na uhitaji wake wa wakati fulani, mfano, Me nilipokuwa naishi na GirlF wangu nilikuwa mtu wa home sana, Outings na mizunguko nilikuwa sina kabisa iwe...
 
Mwenye dawa ya usingizi ya asili tuwasiliane tafadhali.
Nimejaribu vumbi la kongo wapi..
 
Back
Top Bottom