Kila mtu ana lifestyle na uhitaji wake wa wakati fulani, mfano, Me nilipokuwa naishi na GirlF wangu nilikuwa mtu wa home sana, Outings na mizunguko nilikuwa sina kabisa iwe mchana au usiku (usiku ndo sipendi kabisa till now) Wana wakawa wanashangazwa na mimi hadi kufikia kuniita "Mvivu" Nimekuja kubadilika baada ya breakup na GirlF wangu kwa sasa mchana natoka sanasana nikipata time, Wakati mwingine nafeel bored kabisa kumaliza siku nikiwa home.
Hivyo hivyo mimi kulala mapema hapana asee hadi nishuhudie maybe saa 7-8 na hakuna sababu ya msingi sana ni mazoea tu, Usiku umetulia unampa mtu nafasi ya ku-concentrate na kitu anachokifanya.