Hivi watu mnaokesha au mnaolala usiku wa manane mnapata faida gani?

Mimi moja wapo ya vitu vya msingi kwenye maisha yangu ni kulala.

Mimi kulala ni kati ya saa 3 ama saa 4 kila siku labda kuwe na dharula ipelekee mimi kuchelewa kulala ila ni sa 3 ama 4 kila siku.

Mimi nina usingizi mwingi naweza kulala siku nzima yaani 24 hours na usingizi hausumbui. Haijalishi muda nitakaolala, usingizi upo muda wote.

Hata nilale sa 12 jioni ama sa 9 usiku ikifika sa 11 alfajiri lazima niamke na ndio mwisho wa usingizi.

In most cases nahakikiaha nimelala si chini ya masaa 7.
 
WAHUNI HAO

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Ukikua hata wewe utachelewa kulala na siku nyingine utakesha. Mwamuzi muda
 
Njoo tukutane HAKUNA KULALA redio Free Afrika au USIKU KAMA MCHANA Clouds Tv utajua faida zake.
 
Watu Hasa wanaume wanao enda Lala Mapema! mara nyingi wana Lao jambo! wachunguzwe nyie wadada nyie mnao olewa na vijana wadogo hata mtu mzima kuweni makini tu, ni hivi;

kumnyatia Msichana wa kazi! inakuwaje? wanapanga yao mapema, ili awahi kurudi mapema kabla mama hajarudi wanapigana kimoja faster! then! anarudi kijiweni! mpaka saa mbili!

Akirudi Mama amelala anazuga na taarifa ya habari, hapo wanapata kimoja tena! wanalala, usiku mnene tena ana nyata faster anapigwa kimoja!..hapo ke kachoka ujue? kalala!

Yaani hizi nyumba zina mambo? heeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…