Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,047
- 1,832
Nimeipenda avatar yakoHata hapa tutakusanyika
Kipanya amesema eti tulisomewaga albadir ndiyo maana tunaokota makopo eti.Dar inahitajika akilinyingi xana na wala swala la kufanya kazi co la muhimu xana,hata ukiokota makopo pesa unapata,ila huku mikoan cjaona waokota machupa
Vipi, wewe hubanduki hapa JF, kazi gani wafanyaKwa kweli huwa mnanichanganya kila nikija dar likitokea tukio hata kama ni dogo lazima watu wajae mfano hata mtu aanguke na baiskeli watu lazima wakusanyike watu wakigombana kidogo lazima watu wakusanyike tatizo hamna kazi za kufanya au ni umbea cha ajabu ni wanawake na wanaume. Najiuliza hivi mnafanya kazi saa ngapi? Maana matukio ni mengi
Huku ulifwata nini kama sio umbeya? Rudi shamba kwenu hukoKwa kweli huwa mnanichanganya kila nikija dar likitokea tukio hata kama ni dogo lazima watu wajae mfano hata mtu aanguke na baiskeli watu lazima wakusanyike watu wakigombana kidogo lazima watu wakusanyike tatizo hamna kazi za kufanya au ni umbea cha ajabu ni wanawake na wanaume. Najiuliza hivi mnafanya kazi saa ngapi? Maana matukio ni mengi
Mkuu kuokota makopo ni matokeo ya albadili iliyosomwa enzi hizoooooooo[emoji23] [emoji23]Dar inahitajika akilinyingi xana na wala swala la kufanya kazi co la muhimu xana,hata ukiokota makopo pesa unapata,ila huku mikoan cjaona waokota machupa