Hivi watu wa dar mnafanya kazi saa ngapi?

Hivi watu wa dar mnafanya kazi saa ngapi?

Mara nyingi wanao simama kushangalia matukio huwa ni watu kutoka Mikoani...!!
Mim namwambia jamaa afanye tukio la kupanga halafu tuanze kuhoji watakaofika kama ni wa mikoan au lah, tayar kitambulisho cha ITV ninacho
 
Back
Top Bottom