Hivi watu wa dar mnafanya kazi saa ngapi?

Kwa kweli huwa mnanichanganya kila nikija dar likitokea tukio hata kama ni dogo lazima watu wajae mfano hata mtu aanguke na baiskeli watu lazima wakusanyike watu wakigombana kidogo lazima watu wakusanyike tatizo hamna kazi za kufanya au ni umbea cha ajabu ni wanawake na wanaume. Najiuliza hivi mnafanya kazi saa ngapi? Maana matukio ni mengi
Mkuu mbona haya ni nchi nzima sio Dar pekee - watu wana wakati wa majungu na udaku
 
Hiyo ni hulka ya kila binadamu, kunapotokea kitu,kutaka kujua nini kinachoendelea

Badala ya kukusanyika nao...

Fanya kama unapita hivi...

Cc: mahondaw
 
Sasa cha kushangaza kwenye tukio hawatoagi msahada wanakuaga wapenzi watazamaji!!
 
Unajua Dar ina wakazi million ngapi? Tofauti na kijijin kwenu ulipotoka hapa mjin kazi n usiku mchana..24/7.. We ukiwa unaenda kazin mda huo wenzako wamepumzika..
 
Kwa kweli huwa mnanichanganya kila nikija dar likitokea tukio hata kama ni dogo lazima watu wajae mfano hata mtu aanguke na baiskeli watu lazima wakusanyike watu wakigombana kidogo lazima watu wakusanyike tatizo hamna kazi za kufanya au ni umbea cha ajabu ni wanawake na wanaume. Najiuliza hivi mnafanya kazi saa ngapi? Maana matukio ni mengi

Vip kwani...kuna mwana dsm alishawahi kukulilia njaa wewe wa mkoani?
dar hatutumii nguvu kufanya kazi...just akili nyingi tofauti na nyie wa mikoani kina pawa iranda wapasua mbao na wachimba ardhi kula kwa tindo kulala kwa sururu.
Hahahahahahaha
 
e017a47bde3d0646aea93979e9bbb9a1.jpg
 
Kwa kweli huwa mnanichanganya kila nikija dar likitokea tukio hata kama ni dogo lazima watu wajae mfano hata mtu aanguke na baiskeli watu lazima wakusanyike watu wakigombana kidogo lazima watu wakusanyike tatizo hamna kazi za kufanya au ni umbea cha ajabu ni wanawake na wanaume. Najiuliza hivi mnafanya kazi saa ngapi? Maana matukio ni mengi
Huku dar kazi si lazima mchana wengine wanapiga kazi usiku halafu wengine ni madoni kazi wanafanya wa kutoka mkoani yeye anaenda kukagua tu jioni.
 
Subiri ugongwe na baiskeli ,utajua dar watu wanafanya kz gan
 
Kwani wewe unataka wapi? Sio sahihi kutakatisha kijiji chako na Dar. Ujue Dar kuna watu zaidi ya 5M wakati kijijini kwako hamfiki huku?
 
Back
Top Bottom