Mkuu mbona haya ni nchi nzima sio Dar pekee - watu wana wakati wa majungu na udakuKwa kweli huwa mnanichanganya kila nikija dar likitokea tukio hata kama ni dogo lazima watu wajae mfano hata mtu aanguke na baiskeli watu lazima wakusanyike watu wakigombana kidogo lazima watu wakusanyike tatizo hamna kazi za kufanya au ni umbea cha ajabu ni wanawake na wanaume. Najiuliza hivi mnafanya kazi saa ngapi? Maana matukio ni mengi
Mkuu hili jibu limamaliza Uzi woteHata hapa tutakusanyika
Kwa kweli huwa mnanichanganya kila nikija dar likitokea tukio hata kama ni dogo lazima watu wajae mfano hata mtu aanguke na baiskeli watu lazima wakusanyike watu wakigombana kidogo lazima watu wakusanyike tatizo hamna kazi za kufanya au ni umbea cha ajabu ni wanawake na wanaume. Najiuliza hivi mnafanya kazi saa ngapi? Maana matukio ni mengi
Hahahahahahaha
Mnajiskiaga Raha Mkitamka mashemeji ZENU ...♤Unawazungumzia wanaume wa dar au??
Nani wa kukupa dada yake wewe!! Na wewe wakiita wanaume wa dar waweza kwenda??Mnajiskiaga Raha Mkitamka mashemeji ZENU ...♤
Huku dar kazi si lazima mchana wengine wanapiga kazi usiku halafu wengine ni madoni kazi wanafanya wa kutoka mkoani yeye anaenda kukagua tu jioni.Kwa kweli huwa mnanichanganya kila nikija dar likitokea tukio hata kama ni dogo lazima watu wajae mfano hata mtu aanguke na baiskeli watu lazima wakusanyike watu wakigombana kidogo lazima watu wakusanyike tatizo hamna kazi za kufanya au ni umbea cha ajabu ni wanawake na wanaume. Najiuliza hivi mnafanya kazi saa ngapi? Maana matukio ni mengi
Nmecheka sanaDar hakuna nyumba inabaki bila mtu. So ukiona watu 50 barabaran ujue kuna watu 200 ndani.