Hivi watu wa dar mnafanya kazi saa ngapi?

Wewe pambana na hali yako. Watu wa Dar waache kama walivyo. Sijui na wewe unafanya kazi saa ngapi kama muda wako unatumia kufuatilia watu wa Dar wanavyoshangaa matukio!
 
Nilichogundua,..kuna wivu na chuki mbaya sana ya hawa watu wanaoandikaga hii phrase "wanaume wa dar" Na sis ma alwatan wenyew tulioko dar..pambanen na hali zenu. .si lazima ujionyeshe kua unatokea kolomije
 
Dar inahitajika akilinyingi xana na wala swala la kufanya kazi co la muhimu xana,hata ukiokota makopo pesa unapata,ila huku mikoan cjaona waokota machupa
Umenikera na kuandika x badala ya s sipendi hii tabia
 
Dar sio kama mikoani maana kuna mikoa mingine saa 1 usiku kila mtu kashajifungia zinabaki baa & klabu.

Dar hailali pesa zinatafutwa saa 24 kwa hiyo wakati wewe ulipokuwa unawashangaa wenzio usishangae hao walikua wamepumzika wanasubiri mida ifike warudi kwenye michakato.
 
Unataka Dar ifanane na Chato?
 
Ni shida! Wengi hawana kazi, wako chini ya miti kubangaiza tu, kwenye mafremu wapo, kinyozi wapo, kupiga domo tu, ndiyo maana hawampendi MAGU, kawaambia aisyefanya kazi na asile! Kila kitu wanakimbilia, ajali wamo, umegombana na mkeo wapo, umedondoka na baiskeli wamo, barabara yatengenezwa wapo, tapeli manyaunyau wapo, kigodoro wapo! Waambie basi kuna kazi ya kupaliliaa duh! Watakimbia kuliko..
 
wa mkoani bana..ushaliamsha dude[emoji23][emoji23][emoji23]
 
hakuna serious job mabarabarani wew huoni wakikusanyika muuza kahawa, karanga,sigara nae anawasogelea
 
Wote wanao kusanyika huwa ni watu kutoka Mikoani....
 
Mara nyingi wanao simama kushangalia matukio huwa ni watu kutoka Mikoani...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…