Hivi watu waliokufa zamani wanapata wapi nguvu ya kutatua shida zetu? Hao kina Yesu, Bikira Maria na Mizimu?

Najiuliza sipati jibu, labda wenzangu mtakuwa Na majibu. Mizimu inanipaje utajiri wakati nao walikuwa masikini?
Yeah Na Bikira Maria hawakuwa matajiri, wanaweza vipi kunipa utajiri?

Sawa kina Mwamposa ni matajiri kwa kuwa ni wajanja wa Mjini.
Wako ulimwengu wa roho. Wanatumia miujiza. Ukitaka reasoning itumike hutapata jawabu. IMANI TU
 
Mkuu ulishawahi kutokewa na mzimu???

Hapo kwa Yesu nduguze wanadai alifufuka akajikataa
 
Najiuliza sipati jibu, labda wenzangu mtakuwa Na majibu. Mizimu inanipaje utajiri wakati nao walikuwa masikini?
Yeah Na Bikira Maria hawakuwa matajiri, wanaweza vipi kunipa utajiri?

Sawa kina Mwamposa ni matajiri kwa kuwa ni wajanja wa Mjini.
YESU SI MFU. ALIYE MFU NI BIKRA MARIA, MOHAMED, PETRO, MUSSA, IBRAHIM n.k
 
Najiuliza sipati jibu, labda wenzangu mtakuwa Na majibu. Mizimu inanipaje utajiri wakati nao walikuwa masikini?
Yeah Na Bikira Maria hawakuwa matajiri, wanaweza vipi kunipa utajiri?

Sawa kina Mwamposa ni matajiri kwa kuwa ni wajanja wa Mjini.
Mbona umezungumzia utajiri mara nyingi kuliko vingine vinavyoombwa? Je, mtu anapofanya maombi, anakuwa anaomba utajiri?
 
Kwanini sasa wanamuomba Bikira Maria awaombee
Ni kama unapokuwa na mzee wako halafu yeye hataki uwe na mambo ya kijinga. Na wewe kwa kuwa una makando kando mengi unajisikia vibaya kuongea naye moja kwa moja. So unamwambia bibi yako akuombee mambo flani sababu unajua ukiomba wewe mzee atakuzogoa. Kuwa amekulipia ada shule hutaki kwenda, kakupa kazi hutaki. Ila ukiwa na shida unataka akusaidie so unaona umtumie bibi yako akabembeleze.
 
Back
Top Bottom