capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,363
- 121,260
Yesu si mzimu, anaishi.! Yeye hatoi utajiri anatoa uzima wa milelele kwa wamuaminio.Najiuliza sipati jibu, labda wenzangu mtakuwa Na majibu. Mizimu inanipaje utajiri wakati nao walikuwa masikini?
Yeah Na Bikira Maria hawakuwa matajiri, wanaweza vipi kunipa utajiri?
Sawa kina Mwamposa ni matajiri kwa kuwa ni wajanja wa Mjini.
Utajiri ni baraka zitokanazo na mapenzi yake kwetu.