Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Hizo ni hadithi za uongo za watu tu.Najiuliza sipati jibu, labda wenzangu mtakuwa Na majibu. Mizimu inanipaje utajiri wakati nao walikuwa masikini?
Yeah Na Bikira Maria hawakuwa matajiri, wanaweza vipi kunipa utajiri?
Sawa kina Mwamposa ni matajiri kwa kuwa ni wajanja wa Mjini.
Wako ulimwengu wa roho. Wanatumia miujiza. Ukitaka reasoning itumike hutapata jawabu. IMANI TUNajiuliza sipati jibu, labda wenzangu mtakuwa Na majibu. Mizimu inanipaje utajiri wakati nao walikuwa masikini?
Yeah Na Bikira Maria hawakuwa matajiri, wanaweza vipi kunipa utajiri?
Sawa kina Mwamposa ni matajiri kwa kuwa ni wajanja wa Mjini.
Fafanua mkuuHizo ni hadithi za uongo za watu tu.
YESU SI MFU. ALIYE MFU NI BIKRA MARIA, MOHAMED, PETRO, MUSSA, IBRAHIM n.kNajiuliza sipati jibu, labda wenzangu mtakuwa Na majibu. Mizimu inanipaje utajiri wakati nao walikuwa masikini?
Yeah Na Bikira Maria hawakuwa matajiri, wanaweza vipi kunipa utajiri?
Sawa kina Mwamposa ni matajiri kwa kuwa ni wajanja wa Mjini.
Mbona umezungumzia utajiri mara nyingi kuliko vingine vinavyoombwa? Je, mtu anapofanya maombi, anakuwa anaomba utajiri?Najiuliza sipati jibu, labda wenzangu mtakuwa Na majibu. Mizimu inanipaje utajiri wakati nao walikuwa masikini?
Yeah Na Bikira Maria hawakuwa matajiri, wanaweza vipi kunipa utajiri?
Sawa kina Mwamposa ni matajiri kwa kuwa ni wajanja wa Mjini.
Stories zimejaa contradictions, contradictions zinazoonesha stories hizo ni za uongo, zimetungwa na watu tu.Fafanua mkuu
Hatari sanaStories zimejaa contradictions, contradictions zinazoonesha stories hizo ni za uongo, zimetungwa na watu tu.
Kwanini sasa wanamuomba Bikira Maria awaombeeYESU SI MFU. ALIYE MFU NI BIKRA MARIA, MOHAMED, PETRO, MUSSA, IBRAHIM n.k
Jibu swali mpwaItoshe tu kusema hujui ulitendalo na Mungu wa mbinguni akurehemu na kukufungua macho yako ya ndani.
Ni kama unapokuwa na mzee wako halafu yeye hataki uwe na mambo ya kijinga. Na wewe kwa kuwa una makando kando mengi unajisikia vibaya kuongea naye moja kwa moja. So unamwambia bibi yako akuombee mambo flani sababu unajua ukiomba wewe mzee atakuzogoa. Kuwa amekulipia ada shule hutaki kwenda, kakupa kazi hutaki. Ila ukiwa na shida unataka akusaidie so unaona umtumie bibi yako akabembeleze.Kwanini sasa wanamuomba Bikira Maria awaombee