capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,363
- 121,260
Yesu si mzimu, anaishi.! Yeye hatoi utajiri anatoa uzima wa milelele kwa wamuaminio.Najiuliza sipati jibu, labda wenzangu mtakuwa Na majibu. Mizimu inanipaje utajiri wakati nao walikuwa masikini?
Yeah Na Bikira Maria hawakuwa matajiri, wanaweza vipi kunipa utajiri?
Sawa kina Mwamposa ni matajiri kwa kuwa ni wajanja wa Mjini.
Najiuliza sipati jibu, labda wenzangu mtakuwa Na majibu. Mizimu inanipaje utajiri wakati nao walikuwa masikini?
Yeah Na Bikira Maria hawakuwa matajiri, wanaweza vipi kunipa utajiri?
Sawa kina Mwamposa ni matajiri kwa kuwa ni wajanja wa Mjini.
Huwa nasikia Kuhani Musa akidai ukitoa fedha za kujenga kanisa lake unakuwa takjiri,kama huna mke/mtoto unapata mara mojaNajiuliza sipati jibu, labda wenzangu mtakuwa Na majibu. Mizimu inanipaje utajiri wakati nao walikuwa masikini?
Yeah Na Bikira Maria hawakuwa matajiri, wanaweza vipi kunipa utajiri?
Sawa kina Mwamposa ni matajiri kwa kuwa ni wajanja wa Mjini.
...kwamba jinga fulani ambalo katika uhai wake halikutubu dhambi zake ili lisamehewe...nyie mnao uwezo wa kuliombea likasamehewa?!Wafu hawana uwezo wa kusaidia walio hai, bali watu walio hai wanaweza wasaidia wafu kwa kuwaombea wapate ahueni huko waliko.
Hakuna asiye na dhambi, wote ni wakosaji na ni vyema kuombeana japo Mungu yeye ndyo humsamehe amtakaye....kwamba jinga fulani ambalo katika uhai wake halikutubu dhambi zake ili lisamehewe...nyie mnao uwezo wa kuliombea likasamehewa?!
Mkuu hebu nisaidie...Kwa mfano mimi nikuibie ile pikipiki yako...niipige bei...then nife bila kutubu wala kukuomba msamaha...ndugu na marafiki wakiniombea Mungu atanisamehe?Hakuna asiye na dhambi, wote ni wakosaji na ni vyema kuombeana japo Mungu yeye ndyo humsamehe amtakaye.
Kusamehe ni maamuzi ya Mungu wenyewe, kufanya dhambi moja haifuti mazuri yote uliyowahi kufanya.Mkuu hebu nisaidie...Kwa mfano mimi nikuibie ile pikipiki yako...niipige bei...then nife bila kutubu wala kukuomba msamaha...ndugu na marafiki wakiniombea Mungu atanisamehe?
Nashukuru kiongozi ila nadhani pia tuna misimamo na imani tofauti that is why hatutafikia hitimisho linalofanana katika hili! Mimi ni mu-adventista msabato ninaamini nikifa kabla sijayakabidhi maisha yangu kwa MUNGU basi nitakuwa nimepotea milele!naiheshimu imani yako, asanteKusamehe ni maamuzi ya Mungu wenyewe, kufanya dhambi moja haifuti mazuri yote uliyowahi kufanya.
Huenda lipo jema moja ulilofanya likasababisha Usamehewe mabaya yote mengine
Vyema sana mkuu, pia tusifanye dhambi kwa kusubiri kuombewa msamaha na ndugu, tuwajibike kwa matendo yetuNashukuru kiongozi ila nadhani pia tuna misimamo na imani tofauti that is why hatutafikia hitimisho linalofanana katika hili! Mimi ni mu-adventista msabato ninaamini nikifa kabla sijayakabidhi maisha yangu kwa MUNGU basi nitakuwa nimepotea milele!naiheshimu imani yako, asante