Huyo anahitaji saline water mouthwash.Wengine wanajua usafi vizuri tu ila wananuka midomo , unakuta mtu anasafisha kinywa mda huo huo anatema dawa na kusukutua na maji.
Kwa kweli. Usafi unahitajika. Hata pale kwenye ugonjwa. Dooh.Kuna jamaa tulisoma naye secondary alikuwa ananuka mdomo wanasema sometimes ni intestinal infection ila ulimi unatakiwa upigwe mswaki maana unakutana na mtu asubuh ulimi una rangi ya njano au rangi ya ubuyu.
Uzuri wkt wa denda harufu hauisikiiUsafi wa kinywa kwa kina unahitajika, Wengi wao huwa hawasugui Ulimi na mswaki.
Sipendi mtu anae toa harufu kinywani, huwa naboreka, nawaza mwenza wake anawezaje kuvumilia Denda? Au kupumuliana.
Hiyo harufu, Woiiiiiiih.
KWANI UKISEMA NI WEWE MSAADA HUPATI?πββοΈπana jukwaa, mimi huwa najiuliza hawa watu wanaonukaga midomo huwa hawajijui kwani.
Kuna mbaba mmoja huwa anakujaga hapa ofisini kuna muda anaweza akawa anaongea karibu na mimi namsikia kabisa mdomo wake unatoa harufu, sasa najiuliza hata nyumbani mke wake ameshindwa kumwambia, yeye mwenyewe je hasikii hiyo harufu.
Kwa mnaofahamu hili tatizo dawa yake ni nini, tuwasaidie watu wanaopitia hii changamoto.
KWANI UKISEMA NI WEWE MSAADA HUPATI?πββοΈπ
Wee em sema kweli?Uzuri wkt wa denda harufu hauisikii
Kweni Ukiwa umekufa unaijua kama umekufa, au Ukiwa mpumbavu unaijua kama mpumbavu, the same apply kwenye kunuka mdomo. Nawapa shida tu wanaokuzungukaHeshima yenu wana jukwaa, mimi huwa najiuliza hawa watu wanaonukaga midomo huwa hawajijui kwani.
Kuna mbaba mmoja huwa anakujaga hapa ofisini kuna muda anaweza akawa anaongea karibu na mimi namsikia kabisa mdomo wake unatoa harufu, sasa najiuliza hata nyumbani mke wake ameshindwa kumwambia, yeye mwenyewe je hasikii hiyo harufu.
Kwa mnaofahamu hili tatizo dawa yake ni nini, tuwasaidie watu wanaopitia hii changamoto.
πππππ Nyie watu mungu anawaona aiseeeSahivi uko wapii?
πππna anaeongea hadi mate yanaruka...... Nipo na jamaa hapa naongeanae,nayaoga mate balaa,aisee!
Kimekulambaaaa!! πππππππππ Nyie watu mungu anawaona aiseee
Acha tuuu... Najuta kuvamia vamia aiseeeKimekulambaaaa!! ππππ
Jaribu uoneWee em sema kweli?
Siku nyingine utumie mwamvuli.na anaeongea hadi mate yanaruka...... Nipo na jamaa hapa naongeanae,nayaoga mate balaa,aisee!
Hapana.Jaribu uone
Kwani ur man anayekupelekea moto is always smell good? Kuna mda huwa anakuwa rough lkn kwakuwa ile kitu inaondoa sehemu ya tabaka la ufahamu huwa unapotezea cocasticHapana.