Hivi watu wanaonuka midomo huwa hawajijui?

Kwanini hujamwambia yeye na unakimbilia mtandaoni kupost?
 
Usafi wa kinywa kwa kina unahitajika, Wengi wao huwa hawasugui Ulimi na mswaki.

Sipendi mtu anae toa harufu kinywani, huwa naboreka, nawaza mwenza wake anawezaje kuvumilia Denda? Au kupumuliana.
Hiyo harufu, Woiiiiiiih.
Mwanaume akiwa na hela wadada hata anuke mdomo vipi mmo tuu. Mkishaachana ndo mnaanza ooh nilikuwa nae kimaslahi.
Pumbavu.
 
Usafi wa kinywa kwa kina unahitajika, Wengi wao huwa hawasugui Ulimi na mswaki.

Sipendi mtu anae toa harufu kinywani, huwa naboreka, nawaza mwenza wake anawezaje kuvumilia Denda? Au kupumuliana.
Hiyo harufu, Woiiiiiiih.
Wanawake ni watu wenye roho ngumu sana na katili. Mimi mwenyewe huwa najiuliza unawezaje kuvumilia harufu ya pombe+sigara?

Mimi nikilala tu na mtu wa aina hiyo chumbani sipati usingizi kabisa. Sasa wanawake mnapumuliwa na denda mnakula kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…