Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
Hizi pesa nimewahi kusikia zikitafutwa sana Leo nimekaa nikajiuliza je huwa hizi pesa wananaonunua kwa value ya juu huenda kuzifanyia nini?
WatapeliView attachment 3332853
Hizi pesa nimewahi kusikia zikitafutwa sana Leo nimekaa nikajiuliza je huwa hizi pesa wananaonunua kwa value ya juu huenda kuzifanyia nini?
Bitcoin.Eti ndiyo kazi inayompa maisha Bongo Zozo.
Na wanaonunuwa noti chakavu mtaani wanazipeleka wapi?Hua zina kazi katika kupandisha bahati ya uchumi , wengine huzitemgeneza na kuweka dukani, wengine hutengeneza kwa kutembea nazo, wengine hutengeneza kuogea zina kazi kubwa, sababu inaaminika peda ya zamani zilishikwa na watu wengi wa zamani waliokua na bahati tofauti hivyo sababu hao watu asilimia kubwa wamekufa hivyo nyota zao unaweza kuzitumia kwenye peda hizo za zamani
Mmh!! Teh tehee teehee nimecheka sana,ili kupata nyota ya wahenga,watu bhana,wanaimani za ovyo,utakuta hata msomi,anaamini hivyo!!!!🤣🤣Hua zina kazi katika kupandisha bahati ya uchumi , wengine huzitemgeneza na kuweka dukani, wengine hutengeneza kwa kutembea nazo, wengine hutengeneza kuogea zina kazi kubwa, sababu inaaminika peda ya zamani zilishikwa na watu wengi wa zamani waliokua na bahati tofauti hivyo sababu hao watu asilimia kubwa wamekufa hivyo nyota zao unaweza kuzitumia kwenye peda hizo za zamani
Benki...wananunua kwa nusu bei ya fedha halisi..noti ya 10000 anakupa 5000, noti ya 5000 anakupa 2500,noti ya 2000 anakupa 1000, noti ya buku unapata 500.Na wanaonunuwa noti chakavu mtaani wanazipeleka wapi?
Duh 🤔Kwa waganga wa kienyeji
Duh benki si zili hifadhiwa incase ni makumbusho benki zipoItakuwa mambo ya ushirikina au kuuza kwenye makumbusho za historia
DuhUwa ni mtandao wa matapeli. Wanaandaa mazingira ya kuzitafuta na kuwalipa vizuri wenye nazo. Baadae sarafu uonekana kutafutwa sana na malipo kuwa makubwa zaidi. Utafutwaji wa sarafu unapofikia kwenye peak mtandao huo huo utatoa sarafu hizo kwa kuwauzia kwa bei kubwa sana warugaruga wanaoamini zina soko mahali na wakitegemea kuvuna faida kubwa sana. Warugaruga wakishazinunua kwa bei kubwa sana na kuwatafuta wanunuzi uambulia patupu maana matapeli wanakuwa wameshafunga biashara.
Hata Mimi nilimsikia akilisema hili kwenye luninga ya UTVEti ndiyo kazi inayompa maisha Bongo Zozo.