Hivi watu wanaosubiri kutekelezwa kwa hukumu ya kifo, siku au dakika za mwisho huwa wanakuwa katika hali gani?

Niliona clip moja jamaa alikuwa anakula msosi wake wa mwisho akisubiri hukumu ya kunyongwa. Mikono yake ilikuwa inatetemeka balaa huku akila, expresion ya uso wake ukiiona itakutia huzuni sana.
Hii adhabu ni mbaya sana.
 
Nilipata kusikia ya kua wanaishi kama paradiso, hawafanyi kazi yoyote, wanakula vizuri, kusoma vitabu na magazeti huku wakisubiri vifo vyao.
 
Kuna story moja ya dogo anaitwa George Stinney, ni black American alihukumiwa kufa kwa hiyo electric chair, alikuwa na miaka 14 tu. Daah ni story ya kusikitisha sana na kuna movie pia on the same story
Yeah naifahamu hiyo story mkuu, ndio ilionifanya nione hiyo adhabu ni ya kinyama sana, hasa ukizingatia dogo mwenyewe alikuwa kasingiziwa tu
 
Youtube zimejaa clips za watu ambao watanyongwa baada ya muda mfupi,huko utapata jibu la swali lako kwa kuwaangalia,hope humu hakuna aliyehukumiwa kifo ili akupe uzoefu wake.
 
Mim8
Mimi binafsi yaliwahi kunikuta...kabla ya kunyongwa hadi kufa nilikua nasubiri mechi kati ya Arsenal na Yanga!
 
Kwa nilivyoshuhudia na kusimuliwa pale ukonga magereza mwaka 1996 wafungwa walihukumiwa kunyongwa huwa hawana amani ila mwisho wa siku wanazoea kuishi kama wafungwa wengine


Ila nilisimuliwa siku ya kunyongwa huwa wako very strong ila mapigo yao ya moyo huwa yako juu sana wanapanda kwenye kidungu sehemu ya kunyongea

Wakati huo askari wa kikosi maalumu wakiwa ndo watu kusimamia zoezi hiloo
Mwisho mfungo husimama kwenye mtego wa kidungo na wanafanyatua .......

Kutokana na ile force ya mtego na kamba shigoni wakishafyatua ule mlango alio kanyaga anavyodondoka ....ile kamba hujifunga kwa nguvu na kuvunja shingo ambayo ndo spinal cord mfumo wa fahamu hivyoo kufanya mfungwa kufa bila maumivu baaada spinal cord kuvunjwa


So ni tukio la kutisha ukiwa unaenda ila inafika kipindi unakubali hali ilivyo
 
Dooh hivi kumbe hizo zote bado zipo, kuna kipindi nilisikia electric chair na lethal injection zilifutwa kwa sababu zilionekana ni more inhumane kuliko firing squad na hanging, kuna nyingine ya gas chamber na zamani kulikuwa na guillotine sijui kama mpaka miaka hii bado zinakuwa executed
 
Asante ila bado ni ukatili tu mkuu.
 
Hiyo incident ilikuwaje, tupeko dokezo kidogo.
 
Usiseme kila binadamu Kuna Mimi hapa sijawahi kuhofia kifo
Ukiniambia hukiogopi kifo nitakubali lakini hofu unayo, narudia tena hakuna binadamu mwenye utimamu wa afya ya akili asiyekuwa na hofu ya kifo.

Simple statement ili unielewe point yangu. “I don’t want to die but I don’t worry about it either”.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…