Mtu mbalimbali
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 551
- 895
we
we jamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we jamaa
Hukumu ya kifo haitolewi ili kukuridhisha mfungwa inatolewa kukuadhibu kwanzia wewe famia yako hadi jamii lengo ni kujenga hofu kwa jamii ili wasifanye makosa fulani yenye hukumu hiyoBado haisaidii mkuu, sema basi tu.
Shujaa Magufuli: Sijasaini hukumu ya Kifo hata moja
Kuna story moja ya dogo anaitwa George Stinney, ni black American alihukumiwa kufa kwa hiyo electric chair, alikuwa na miaka 14 tu. Daah ni story ya kusikitisha sana na kuna movie pia on the same storyHukumu mbaya kuliko zote ni ile ya electric chair bora hizo nyingine, by the way hilo swali tuwaulize pia na wale wagonjwa wa cancer stage ya mwisho, nao wanakuwa wanajua kabisa kwamba baada ya muda fulani they will be no more
Inakuwa kawaida tu, kama ulivyo wewe.Kuna jambo limenikumbusha vita ya ghuba(Second Persian Gulf war) ile iliyomuondoa madarakani aliekuwa Raisi wa Iraq, Bwana Saddam Hussein. Nikakumbuka huyu bwana alihukumiwa adhabu ya kifo kwa kunyongwa hadi kufa.
Saddam ni mfano tu wa watu wengi waliouwawa kwa adhabu ya kifo iwe kwa kunyongwa, kuchomwa sindano ya sumu, n.k.
Swali ninalijiuliza, watu hawa wanaosiubiri kutekelezwa kwa adhabu za kifo, huwa wanakuwa na hali gani dakika za mwisho?
Na je, ndugu zao nao huwa na hali gani?
Hakika hii adhabu ni mbaya sana isipokuwa kwa wale wanaoamini wanahukumiwa kufa kwasababu walipigania jambo kwa imani ya misingi ya kidini(wanakuwa na matumaini kuwa wanafia dini yao yaani Mungu) au wale wanaomani wanakwenda kufa kishujaa, tofauti na hapo, ni mateso mabaya sana ya kisaikolojia na sijui kama hujwa wanapata usingizi siku zikikaribia.
Na,la kusikitisha zaidi alikuwa kasingiziwa kutokana na rangi yake ya mwili na asili yake.Kuna story moja ya dogo anaitwa George Stinney, ni black American alihukumiwa kufa kwa hiyo electric chair, alikuwa na miaka 14 tu. Daah ni story ya kusikitisha sana na kuna movie pia on the same story
Mbona kila siku tu watu wanauwa kama vile hii adhabu haipo?Kuna mazingira mtu anau halafu baadae ndio anakuja kujuta mfano kumfumania mke wake au mume wake.Hukumu ya kifo haitolewi ili kukuridhisha mfungwa inatolewa kukuadhibu kwanzia wewe famia yako hadi jamii lengo ni kujenga hofu kwa jamii ili wasifanye makosa fulani yenye hukumu hiyo
Adhabu ya kifo iendelee kuwepo. Kuna watu adhabu hii wanaistahiki kabisa. Wewe unamtazama anayehukumiwa (kwa kustahiki) na familia yake? Kwanini tusiwafikirie victims wake na familia zao?Ni shida kubwa kiutu. Kwa aliyehukumiwa na kwa ndugu zake. Ndio maana kuna kampeni kubwa ya kuondoa adhabu ya kifo. Nchi nyingi tu tayari hazina adhabu hiyo kabisa.
Kwa Tz hukumu ipo ila adhabu haitekelezwi Rais huwa hasaini hukumu ya kunyonga maana ili itekelezwe inabidi yeye aweke saini yakeMbona kila siku tu watu wanauwa kama vile hii adhabu haipo?Kuna mazingira mtu anau halafu baadae ndio anakuja kujuta mfano kumfumania mke wake au mume wake.
Nafahamu sana hili unalosema. Hawataki kuonekana wamenyonga.Kwa Tz hukumu ipo ila adhabu haitekelezwi Rais huwa hasaini hukumu ya kunyonga maana ili itekelezwe inabidi yeye aweke saini yake
Mi nafikiri hakuna binadamu aliyewahi kukizoea kifo. Hata uwe hodari na imani vipi ukiwa na mwili lazima tu kuna point utakiogopa kifo.Kuna jambo limenikumbusha vita ya ghuba(Second Persian Gulf war) ile iliyomuondoa madarakani aliekuwa Raisi wa Iraq, Bwana Saddam Hussein. Nikakumbuka huyu bwana alihukumiwa adhabu ya kifo kwa kunyongwa hadi kufa.
Saddam ni mfano tu wa watu wengi waliouwawa kwa adhabu ya kifo iwe kwa kunyongwa, kuchomwa sindano ya sumu, n.k.
Swali ninalijiuliza, watu hawa wanaosiubiri kutekelezwa kwa adhabu za kifo, huwa wanakuwa na hali gani dakika za mwisho?
Na je, ndugu zao nao huwa na hali gani?
Hakika hii adhabu ni mbaya sana isipokuwa kwa wale wanaoamini wanahukumiwa kufa kwasababu walipigania jambo kwa imani ya misingi ya kidini(wanakuwa na matumaini kuwa wanafia dini yao yaani Mungu) au wale wanaomani wanakwenda kufa kishujaa, tofauti na hapo, ni mateso mabaya sana ya kisaikolojia na sijui kama hujwa wanapata usingizi siku zikikaribia.
Niliona clip moja jamaa alikuwa anakula msosi wake wa mwisho akisubiri hukumu ya kunyongwa. Mikono yake ilikuwa inatetemeka balaa huku akila, expresion ya uso wake ukiiona itakutia huzuni sana.Kwa nchi kama USA ambayo inatekeleza hukumu hiyo, siku ya mwisho mfungwa anaagiza last meal chakula anachopenda , anatenganishwa na wenzake, na muda mfupi kabla ya kutekelezwa kwa hukumu anaoga fresh lakini pia hukumu huwa inatekelezwa usiku
America depending on state kuna options kadhaa, electric chair, lethal injection, bullet by firing squad etc, to be honest sijaona hata moja yenye unafuu, zote zinatisha!!Hukumu mbaya kuliko zote ni ile ya electric chair bora hizo nyingine, by the way hilo s8lwali tuwaulize pia na wale wagonjwa wa cancer stage ya mwisho, nao wanakuwa wanajua kabisa kwamba baada ya muda fulani they will be no more
HahahaKama uliishi maisha Yako kwa kutendea wengine ubaya ubaya kama dhulma, utapeli,wizi,kudanga wanaume wa watu,kuua,masengenyo,magomvi,umbea umbea,unafiki,na matendo yanayofanana na hayo unakua na hofu kubwa na majuto makubwa sana ktk stage ya mwisho..but
Kama maisha Yako yalikua mazuri I mean umewatendea wengine mazuri unakua kawaida ktk hatua za mwisho Tena unaona mbona wanachelewa kuninyonga hawa nikapumzike!!!