Hivi watu weusi duniani kote tuna matatizo? Haiti ina miaka zaidi ya 200 ya uhuru lakini maendeleo haifikii South Korea

Hao wa Dominican in wabaguzi kishenzi,juzi walimweka detention pastor Joshua Mapongo wa Zimbabwe bila sababu
Mtu mweusi ni lazima umtilie mashaka haswa pale anapojifanya yeye ni mwana wa israel kuliko waisrael wenyewe. Hawa tunawaita ma Pastor na masheikh wengi wao ni wauza unga na watakatisha fedha tu
 
Inasikitisha
 
Hatutaki kukimbia
 
Ni kama tunatembea na kalaana fulani hivi
 
Ku
Kuna jambo kama taifa walilipuuzia na sasa linawagharimu, lilishawagharimu na litaendelea kuwagharimu sana tu.

"ULINZI"
Walidharau na kuona kuwa hawana haja ya kuwa na jeshi(military), wakaunda kakikundi ka Polisi kwa ajili ya ulinzi wa viongozi na kushughulikia uhalifu mdogo mdogo!

Hawakujifunza kwa wenzao wa Grenada walivyofanyiwa na Marekani enzi zile miaka ya '82, kuvamiwa na hatimaye kiongozi wao kuuawa kama kuku na mamluki!

Hii siyo mara ya kwanza kuibuka genge la wahuni na kufanya wanayoyafanya bila ya pingamizi lolote.

Nchi bila ya kuwa na jeshi imara haiwezi kuheshimika hata siku1!
 
Soma kitabu Cha Why Nations Fail

Mule kila kitu unachojadili kimeelezwa

We hushangai kwanini Korea Kusini imeizid maendeleo na Korea Kaskizini?
Korea zote asili yake ni Moja na kabla ya 1940s zote zilikuwa ni nchi Moja?

Inashangaza
Lakini Korea Kaskazini huwezi kuifananisha na nchi yoyote Afrika licha ya rundo la vikwazo ilivyonavyo na siku ikiachwa huru itatoka na speed ya rocket kuwafukuzia wenzao
 
Haiti na nchi nyingi sana za carribean marekani aliziharibu sana miaka ya 1880's mwishoni enzi za banana republic
 
Matatizo ya Haiti sio ulinzi tu hata ufukara wa kutisha
 
"If you look at their mode of life and their lifestyle in general you can observe that BLACKS are born with the situation like an half-mad mentality and mindsets."
Jan Smuts, the First Prime Minister of Union of South Africa
 
Kama hujawahi ishi marekan hata kidogo ni rahisi sana kuwalaumu wameran weusi

Wamarekan weusi wanamapungufu yao ila mfumo wa uliwakandamiza na unaendelea kuwakandamiza
Unawakandamiza kwenye nini ?
 
Mkuu unapotosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…