Hivi watumishi wenzangu mnawezaje kupata utajiri wa kuwa na mihela mingi!

SOma vitabu sana, njoo ujipatie kitabu Cha baba tajiri, baba MASKINI ,Alf njoo soma kitabu Cha Mtu tajiri zaidi babeli Hadi hapo utapata mwanga Bei 10,000 Tsh kimoja nicheki WhatsApp 0756704145
View attachment 3461626
Nimesoma
4 Quadrants By Rober Koyasaki
Nimesoma vitabu jumla 8.

Juma3 naanza kengine.

#YNWA.
#YANGA_BINGWA
 
Watu wanashauri rushwa na upigaji ila hawajui kwamba pesa ndefu itayotoka huko itabidi uifanyie laundering.

Wekeza kwenye dhahabu
Kwakifupi ili kumudu rushwa kubwa kubwa lazima uwe tayar unajiweza ili usikamatwe haraka. Ghafla tu una mabillion, unafikiri wenye noti zao hawakuoni eeh!!??
 
Watu wanashauri rushwa na upigaji ila hawajui kwamba pesa ndefu itayotoka huko itabidi uifanyie laundering.

Wekeza kwenye dhahabu
Nataka kupata hela.

Location za kusafishia hela zipooo.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Sawaaa...nipo juu ya keyboard ulipo wewe. Ola kwakua na sisi hatuja share ya kwetu basi ache tuonekane keyboard worriors ili ufarijike maana msiba wa wengi ni sherehe.

Usisahau ""In JF we are anonymous""
Hivyo ruksa kushae.

See You ON TOP

YANGA BINGWA

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Hizo assets unazipataje bila hela...

Umesoma uzi wangu?

Nataka hela ili nimiliki Mutual Fund Bil 40, Real Estate Bil 80, Vituo vya mafuta Bil 60.

NATAKA HIZI HELA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Labda kama unataka kuwa fisadi Ila tofauti na hapo lazima ushirikiane na watu wawe Kama shareholders katika unachofanya.

Zipo njia za kukua kiuchumi Kama OPM (Other people money ) n.k

Long run investments n.k

At ur age ili ufike hatua ya kuwa na 50B jihesabie 20-15 yrs in business

Tifauti na hapo labda uibe au uwe na ujuzi ambao utaifanya dunia ikulipe

As well hao wafanya-biashara wakubwa wao anaweza kuwa DSM Ila akamuuzia bidhaa MTU wa kagera n.k

Kwakuwa wameshatanua frequency zao so unapofikuria Ku-grow financially umefilikilia njia za kutumia pia?.

Muda lazima safari ya ubilionea sio overnight process.
 
Chief, mimi ningerudia

Matajiri woote wala hawanaga hizo swaga za kingereza sijui financial intelligence in first place. They only take risks. Hawajali. Tofauti na sisi wasomi.
KARIAKOO kuna watu wana ukwasi hadi 30-50b na huwezi kuwajua. Wenye mashahada ni wachache kutajirika sababu ya kuogopa kubahatisha. Biashara wanazichanganuwa kwenye makaratasi na kuishia kujitisha.

Kina ugonjwa unaitwa analysis paralysis.
 
Tukiachana na maneno ya mtandaoni

METL ni biashara ya Dewji Family
AZAM ni biashara y Bakheresa Family
IPP ni biashara ya Mengi Family
VUNJA BEI ni biashara ya Fred Family

Hawa wotee hawajashirikiana na watu.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Umeanza vyema na kumalizia vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…