Hivi watumishi wenzangu mnawezaje kupata utajiri wa kuwa na mihela mingi!

SADAKA NIKUPE WEWE HALAFU KUDAI NIMDAI MUNGU???? UTAWAPATA WANAWAKE MAANA AKILI ZAO WANAZIJUA WENYEWE
 
Hizo Bil 30 - 50 walizipataje??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ninaowajuwa walianza miaka ya 80 kujenga nyumba za mikataba ya miaka 10 hadi 15. Nyingi zilikuwa za chini tu kwa wakati huo.

Pesa walizowekeza zilirudi ndani ya miaka 3-4. Muda uliobaki ni faida. Hapo inatafutwa nyumba nyengine na mzunguko unaendelea.

Baada ya mikataba kuisha wamiliki wanashawishiwa tena kuingia mikataba mipya kwa nyumba za ghorofa.

Ikumbukwe tu haya ya mikataba yanafaa zaidi maeneo yenye mzunguko mkubwa wa biashara ambapo fremu zinagombaniwa.
 
Usisahau ""In JF we are anonymous""
Hivyo ruksa kushae.

See You ON TOP

YANGA BINGWA

#YNWA
#YANGA_BINGWA
We jamaa unachekesha sana tena sio kidogo..mtu mwenye bilioni kadhaa na ushee eti awe na muda na jf akalishe mapumbu achukue simu eti akujibu kua nafanya hivi na wewe fanya upate billions..🤣🤣🤣
You are wasting your time here....hakuna mtu mwenye billions kwanza hata kua na muda wa kujibu hapa ushumbusi, huo.mda Hana kabisa ..kati ya 100, mmoja ama wawili watapita tu kama kuperuzi tu na hapo anaingia kama guest...😂😂...we unacheza na bilions...unacheza na madili ya billions...fanya juhudi umtafute labda rostam 😂😂😂😂
 
Muombe Mungu kwa imani Kali sana isiyo na shaka.. ikibidi kwa kufunga na kuacha dhambi KABISA KABISA then utapata hitaji lako
 
We umejuaje yote haya, kwamba mabilionea hawana muda na mtandao kabisaa??
Mbona mabilionea wanamiliki simu za mamilioni....

Hawazitumiii kuingia mtandaoni???

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Muombe Mungu kwa imani Kali sana isiyo na shaka.. ikibidi kwa kufunga na kuacha dhambi KABISA KABISA then utapata hitaji lako
Kuacha dhambi kabisa kabisa HOW?
""Suleiman alikuwa na mademu kibaooo ila alibarikiwa""

Kwani uzinzi sio dhambi???

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 

Haya ndio MAISHA NIYATAKAYO..

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Mtumishi huwezi kuwa tajiri
Kama unataka utajiri acha hiyo kazi fanya biashara
 

Nani kakwambia Watanzania wanataka UKOMBOZI???

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Wewe ungefanya kazi taasisi yangu nafikiri ungeongea peke yako barabarani.
Hakuna hata mia mbovu unapata Kama posho zaidi ya internet ya bure.
Hapa kupata Staff mwenye miaka 10 ni mtihani watu wanachomoka Kama upepo
Tamisemi ni njaa tupu
 
We umejuaje yote haya, kwamba mabilionea hawana muda na mtandao kabisaa??
Mbona mabilionea wanamiliki simu za mamilioni....

Hawazitumiii kuingia mtandaoni???

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Endelea kujipa moyo mjomba. 😂😂
Wanamiliki simu za mabilioni ndio wengine lakilioni, kuingia wanaingia na kuperuzi emails, whasapp kuwasiliana na washikadau ama mabilionea wenzake ama channel yake ya kupiga billions zaidi, 😂😂😂 , kuwasiliana na malaya VIP'S kwa ajili ya starehe za kibilionea🤣🤣🤣..,
Huo muda wa kukaa kuja kujibizana hapa ama akuandikie kama silabi kuu hizo channel za kupiga billions Hana muda huo ..sisi tuendelee kupiga soga hapa na kuchangamsha genge...
 
Katafute utajiri wa majini , pokea rushwa kubwa kubwa ,.acha kuhonga, acha kutoa michango, asilimia 30 ya kipato chako weka akiba, nunua mashamba na viwanja sehemu za bei rahisi ila ukiangalia kasi ya future yake kithamani, usioe mwanamke mwenye tamaa na mzinzi mwisho kabisa
Kuwa bahili
Kuwa bahili
Kuwa bahili
 
Tamisemi ni njaa tupu
Post nyingi za serikalini ni njaa.
Hata kwenye hizo Taasisi zenye fedha sio wotee wanalamba asali.
Unaweza ukawa Taasisi yenye fedha halafu ukawa Maskini.

Sasa mimi nataka kukaa kwenye moja wapo ya hizo post chache ZENYE ASALI NZITOOOO.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Sawaaaaaa, ila hujajibu "main content ya swali langu""

Umejuaje yotee hayaaa.

Mbona Vunja Bei, Moh Dewji, Samia na Diamond wana Page zao Insta hukoo.

Na sometimes Moh na Vunja bei wanapostigi vitu vya kuelemisha vijana. AU PAGE ZAO ZINAKUWAGA HACKED???

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Jibu konki sana. Limenyooka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…