Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Mimi ni mtoto wa pili katika familia ya watoto 8 nina miaka 27, bado naishi nyumba ya kifamilia bado mambo bila bila (maisha magumu kuhama) nimepoteza mzazi wa kike na wakiume anaishi mbali kidogo na sisi ila tunashukuru hajakataa uzazi wake.
Kama mnavyojua katika familia lazima baadh ya muda kuwe na kutoelewana hasa mkiwa mmezaliana kwa mtindo wa ngazi au kaka(dada) huna pesa hapa utajuta hivyo utadharaulike hata na paka mnaofuga shabash!!kuna mdogo wangu wa kike kawahi kuzaa aisee.
Kiburi na jeuri kata mkono licha ya kumfanyia wema wapi kuna siku kidogo nimpige ila nikaona sio poa,kama mdomo wake ni mchafu sio kwangu ni hata kwa majirani. Hebu naomba tuambiane mnawezaje kuishi katika hali hii?