Hivi wazazi wa Mai wanajielewa kweli?

evart

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
2,838
Reaction score
2,772
Habari zenu ndugu wana jf ni matumaini mko vyema !
Niende moja kwa moja kwenye mada ,Nimetokea kufuatilia clip za youtube za maigizo ya huyu mtoto Mai ni mtoto mdogo sana ambae hajajitambua lakini namna wanavyo mu expose kwenye social media sidhani kama ni sahihi sana naona ni kama kumnyima haki ya utoto wake ,mtoto hana budi kulelewa kama mtoto mpaka pale atakapo jitambua .
Huyu mtoto anakila dalili ya kuharibikiwa kimaadili muda si mrefu ,sitashangaa kama atakuja kuwa na tabia kama za akina wema hapo mbeleni.
Nawasilisha.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sababu ni mswahili ndoo maana unamsema Hivyo. Ila ingekuwa ni mzungu hizo sifa ungempa aisee sipati picha. Jua Huanza kuonekana asbh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Never hide the talent of ur kid kwa kisingizio cha maadili.....dogo ana kipaji wacha wazazi wampe sapoti yote ili kesho akiwa star mkubwa wa filamu kama Lupita nchi ipate cha kujivunia mana diamond tumempiga majungu hadi kijana wa watu kakata tamaa.....by the way acha kumtia laana mtoto wa watu eti ataharibiwa WTF...ushindwe kwa jina la Lipumba
 
Mkuu kwenye somo la kiswahili kuna zile alama za funga semi na fungua semi naona umezisahau kwenye story yako (kutoka kwa Dr. From ubeberu country)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…