evart
JF-Expert Member
- Sep 4, 2016
- 2,838
- 2,772
Habari zenu ndugu wana jf ni matumaini mko vyema !
Niende moja kwa moja kwenye mada ,Nimetokea kufuatilia clip za youtube za maigizo ya huyu mtoto Mai ni mtoto mdogo sana ambae hajajitambua lakini namna wanavyo mu expose kwenye social media sidhani kama ni sahihi sana naona ni kama kumnyima haki ya utoto wake ,mtoto hana budi kulelewa kama mtoto mpaka pale atakapo jitambua .
Huyu mtoto anakila dalili ya kuharibikiwa kimaadili muda si mrefu ,sitashangaa kama atakuja kuwa na tabia kama za akina wema hapo mbeleni.
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app