Hivi wazazi wa Mai wanajielewa kweli?

Hivi wazazi wa Mai wanajielewa kweli?

Unapoint mkuu........asipolele vema anaweza kuharibikiwa kama Emmanuelle wa Mark Angel comedy wa Nigeria alipata umaarufu akiwa dogo sana na inasemekana kalipata ujauzito chini ya miaka 15
Emmanuela alipata mimba? Mbona mdogo sana yule mtoto hivi hata amevunja ungo? Na hiyo mimba ikawaje sasa
 
Acha uongo mkuu..mtoto wa miaka Tisa anashikaje mimba?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sema unatania! Mbona kuna ripoti nyingi tu duniani zinazoonesha mabinti wa huo umri sio tu kushika mimba bali uimeshapata kuripoitiwa wamejifungua! Sasa kama at 9 amejifungua, unaweza kupata picha alishika mimba akiwa na umri gani! Sio hivyo tu, wapo waliowahi kuripotiwa kujifungua wakiwa na umri wa chini zaidi ya hapo!!

Hii ulimwengu ni zaidi ya uujuavyo!!! Ku-Google najionea uvivu lakini hata wewe mwenyewe unaweza ku-Google "Youngest mothers"!!
 
Dah..kama ni kweli basi inahuzunisha..
Mtoto wa miaka Tisa anaingizwa dd...I can't believe

Yaani hiyo haina doubt! Hata Marekani na kwenyewe, matukio kama hayo yasharipotiwa sana ingawaje kwa US, majority waliowahi kuripotiwa ni wale ambao walijifungua wakiwa 10 years! Swali ambalo huwa najiuliza hivi mtoto kama huyu anakuwa na nini hasa cha kumvutia mtu!
 
Sio wote wanaharibika kwa kuwa exposed utotoni, na sio wote walioharibika leo hii basi walipitia maisha hayo awali.

Yule Mtangazaji wa ITV akiwa Mtoto enzi zile umemsikia wapi leo hii amevurunda.
 
Ndiyo maana tunabaki tulipo
Kama mtoto anaweza kufanya kitu ni swala tu la kumlinda wala siyo kumzuia.

Hivi tuseme mwanao akiwa vizuri kwenye kuchora utamnyima kufanya hivyo na kuitangaza kazi yake kwa sababu tu ni mtoto?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu ndugu wana jf ni matumaini mko vyema !
Niende moja kwa moja kwenye mada ,Nimetokea kufuatilia clip za youtube za maigizo ya huyu mtoto Mai ni mtoto mdogo sana ambae hajajitambua lakini namna wanavyo mu expose kwenye social media sidhani kama ni sahihi sana naona ni kama kumnyima haki ya utoto wake ,mtoto hana budi kulelewa kama mtoto mpaka pale atakapo jitambua .
Huyu mtoto anakila dalili ya kuharibikiwa kimaadili muda si mrefu ,sitashangaa kama atakuja kuwa na tabia kama za akina wema hapo mbeleni.
Nawasilisha.

View attachment 1051555

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuficha talent ya mtoto ni kufanya mtoto baadae aje afanye kaz ambazo haztaki

Je watoto wako unawasimamia na wana maadili? Mbona mnasifia watoto wa kizungu wakifanya talent zao.

Tuache unafki,husda na choyo kama mtoto wako hana talent yeyote mwache tu kuliko kunena mabaya kwa watoto wa wenzio huo ni uchawi.
 
Back
Top Bottom