Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
Acha uongo mkuu..mtoto wa miaka Tisa anashikaje mimba?Inasemekana alifanya abosheni.....cos kwa age yake ilikuwa kesi
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo mkuu..mtoto wa miaka Tisa anashikaje mimba?Inasemekana alifanya abosheni.....cos kwa age yake ilikuwa kesi
Na wapo walioanza kuliwa embe bichi tangu wakiwa na miaka 12 na hawajawahi hata kuimba shahiri let alone kuwahi kuigiza!Hapana nadhan amechanganya madawa....Lulu ndo aliyealibikiwa Tangu utotoni mwakw mana Wadau walianza kulila embe bichi kwa chumvi.
Ni rumours si habari za kweli...Inasemekana alifanya abosheni.....cos kwa age yake ilikuwa kesi
Emmanuela alipata mimba? Mbona mdogo sana yule mtoto hivi hata amevunja ungo? Na hiyo mimba ikawaje sasaUnapoint mkuu........asipolele vema anaweza kuharibikiwa kama Emmanuelle wa Mark Angel comedy wa Nigeria alipata umaarufu akiwa dogo sana na inasemekana kalipata ujauzito chini ya miaka 15
Sema unatania! Mbona kuna ripoti nyingi tu duniani zinazoonesha mabinti wa huo umri sio tu kushika mimba bali uimeshapata kuripoitiwa wamejifungua! Sasa kama at 9 amejifungua, unaweza kupata picha alishika mimba akiwa na umri gani! Sio hivyo tu, wapo waliowahi kuripotiwa kujifungua wakiwa na umri wa chini zaidi ya hapo!!
Sema unatania! Mbona kuna ripoti nyingi tu duniani zinazoonesha mabinti wa huo umri sio tu kushika mimba bali uimeshapata kuripoitiwa wamejifungua! Sasa kama at 9 amejifungua, unaweza kupata picha alishika mimba akiwa na umri gani! Sio hivyo tu, wapo waliowahi kuripotiwa kujifungua wakiwa na umri wa chini zaidi ya hapo!!
Hii ulimwengu ni zaidi ya uujuavyo!!! Ku-Google najionea uvivu lakini hata wewe mwenyewe unaweza ku-Google "Youngest mothers"!!
Yaani hiyo haina doubt! Hata Marekani na kwenyewe, matukio kama hayo yasharipotiwa sana ingawaje kwa US, majority waliowahi kuripotiwa ni wale ambao walijifungua wakiwa 10 years! Swali ambalo huwa najiuliza hivi mtoto kama huyu anakuwa na nini hasa cha kumvutia mtu!Dah..kama ni kweli basi inahuzunisha..
Mtoto wa miaka Tisa anaingizwa dd...I can't believe
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂 na alegee kbs...Yani alivyoandika kijasiri hiyo mineno nimehisi kama kamsemea mtoto wangu aisee..
Hamna anae muonea wivu hapaAcha wivu.....Unataka aanze kukitumia kipaji chake akiwa na miaka 20??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu avatar yako ni ya mkongwe Eric Dane ak.a admiral Chandler mbabe wa Marine warship, Uss NathanKwani wema alipinda kwa kuanza kuigiza utotoni?
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Mkuu kuficha talent ya mtoto ni kufanya mtoto baadae aje afanye kaz ambazo haztakiHabari zenu ndugu wana jf ni matumaini mko vyema !
Niende moja kwa moja kwenye mada ,Nimetokea kufuatilia clip za youtube za maigizo ya huyu mtoto Mai ni mtoto mdogo sana ambae hajajitambua lakini namna wanavyo mu expose kwenye social media sidhani kama ni sahihi sana naona ni kama kumnyima haki ya utoto wake ,mtoto hana budi kulelewa kama mtoto mpaka pale atakapo jitambua .
Huyu mtoto anakila dalili ya kuharibikiwa kimaadili muda si mrefu ,sitashangaa kama atakuja kuwa na tabia kama za akina wema hapo mbeleni.
Nawasilisha.
View attachment 1051555
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaona wanachofanya wazazi wake ni sawakusema "ana kila dalili za kuharibikiwa kimaadili muda si mrefu" hayo ni maneno mazuri?!?!?! imagine mtoto wako anatamkiwa maneno kama hayo