Hivi wazazi wa Mai wanajielewa kweli?

Hivi wazazi wa Mai wanajielewa kweli?

Ile ni kazi tu, mtoto analelewa mazingira bora kabisa na wazazi wake, cha msingi tumuombee tu asikengeuke huko mbele ila kipaji anacho
 
Unapoint mkuu........asipolele vema anaweza kuharibikiwa kama Emmanuelle wa Mark Angel comedy wa Nigeria alipata umaarufu akiwa dogo sana na inasemekana kalipata ujauzito chini ya miaka 15
Emmanuella Samuel is a Nigerian kid Comedian who was discovered by Mark Angel Comedy. She was born on 22nd July, 2010 in Port Harcourt, River State, Nigeria. She is currently 9 years.

Shame on you for accusing such a thing to a little angel.
 
Maisha magumu wazazi wanatafuta griss.

not but pray.
 
Emmanuella Samuel is a Nigerian kid Comedian who was discovered by Mark Angel Comedy. She was born on 22nd July, 2010 in Port Harcourt, River State, Nigeria. She is currently 9 years.

Shame on you for accusing such a thing to a little angel.

Comedian Emmanuella's alleged pregnancy | XclusiveAfrica.com
https://xclusiveafrica.com › com...
 
Yani nimeshangaa jamani Emanuela kafika lini hiyo miaka 15
Tena kuna kipindi alikuwa hayupo kwenye kipindi yuko boarding school sasa sijui mimba kapata lini
By the way niliona youtube ndo mtoto anaeongoza kwa hela Nigeria kutokana na kazi yake ya sanaa.
Wabongo kwa chai sijawahi ona.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kusema "ana kila dalili za kuharibikiwa kimaadili muda si mrefu" hayo ni maneno mazuri?!?!?! imagine mtoto wako anatamkiwa maneno kama hayo
Hayo ni maneno mazuri kwa mwenye maarifa ya kitaka kujenga...
Na mtoto wa mwenzio ni mwanao hivyo inapoonekana dalili mbaya ya uharibifu wa kimaadili kwa mtoto muungwana lazima atasema ili mzazi/mlezi achukue hatua, neno baya huenda lingekuwa "Wacha aharibikiwe..!!"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usitufanye kama hatuishi dunia hii, wala usijitie kujua zaidi ya wengine!!
Sisi pia ni wazazi na tunajua kwa mtoto umri kama wa Mai ni mambo gani kwake yafaa ama yapi hayamfai..
Wivu ni kitu kibaya sana..husda haifai kabisa watu wanashindwa kuelewa kuwa kuna maisha ya ukwel na maisha ya kwenye kazi..usishangae huyo mtt kwenye maisha yake ya ukweli analelewa kmaadili kuliko wew unavyofikiria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapoint mkuu........asipolele vema anaweza kuharibikiwa kama Emmanuelle wa Mark Angel comedy wa Nigeria alipata umaarufu akiwa dogo sana na inasemekana kalipata ujauzito chini ya miaka 15
Ha!!!kale katoto kalipata ujauzito??duh noma sana
 
Ngoja niQuote uzi wote kabisa kwa matumizi ya baadae, tutaurudia baada ya miaka 10
Habari zenu ndugu wana jf ni matumaini mko vyema !
Niende moja kwa moja kwenye mada ,Nimetokea kufuatilia clip za youtube za maigizo ya huyu mtoto Mai ni mtoto mdogo sana ambae hajajitambua lakini namna wanavyo mu expose kwenye social media sidhani kama ni sahihi sana naona ni kama kumnyima haki ya utoto wake ,mtoto hana budi kulelewa kama mtoto mpaka pale atakapo jitambua .
Huyu mtoto anakila dalili ya kuharibikiwa kimaadili muda si mrefu ,sitashangaa kama atakuja kuwa na tabia kama za akina wema hapo mbeleni.
Nawasilisha.


View attachment 1051555

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuishi kwa Mazoea na kukariri formula Mind you maisha hanayana formula tatizo letu wanadamu tumeumbiwa kinywa hata ufanyeje lazima tutasema tu ata ukikaa kimya tutasema...kwani hawa kina amberruti na wema walikua exposed tokea utotoni??..au uyo mtoto wanamchezesha X?..sijakuelewa ujue yan umefocus kwenye negative....Alafu baadae akija kuwa muigizaji mzuri wakija kusema alianza tokea utotoni wewe ndio utakuja kuwa wa kwanz kupiga nae picha....

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe nawe bado unahitaji malezi bora kama huyo huyo Mai...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mark angel amewatengeneza emmanuela na success sasa hivi anaingiza hela kupitia YouTube
Dj arch kamtengeneza mwanae anaitwa dj arch junior toka ana miaka miwili anachezea deck Kama mtu mzima akiwa na miaka miaka 3 alishinda south Africa got talent na akaweka rekodi ya dunia ya kuwa dj mdogo zaidi duniani
Sasa kwanini zumo asimtumie mwanae?
Mtoto kuwa na maadili au kutokuwa na maadili ni majaaliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom