Hivi wazungu huko kwao kuna supu ya utumbo?!

Bucha za ulaya ili uuziwe utumbo ni sharti uwe na kibali cha kufuga mbwa!!
 
Vyote hivyo vinapatikana kwenye Sepermarket mkuu,unanunua kisha unapika mwenyewe,Miguu ya Mbuzi,Miguu ya Kuku vinauzwa kwenye Paketi,frozen au fresh unapata.
Niliona mara ya mwisho wanauza ukoko wa ugali na wali, na vigunzi nikashangaa sana kwamba hiyo ni kweli?!...hii ndio sababu nagwaya Ulaya! Maisha ya kirobotiroboti!
 
Niliona mara ya mwisho wanauza ukoko wa ugali na wali, na vigunzi nikashangaa sana kwamba hiyo ni kweli?!...hii ndio sababu nagwaya Ulaya! Maisha ya kirobotiroboti!
Hivyo vigunzi ni mahindi machanga,hua wanapika kwa kumix kwenye wali au mchuzi.
 
Na supu ya vichwa vya mbuzi na mbolo za ng'ombe huwa wanakula kweli?
Ila africa tunakula vitu vya ajabu sana.
 
unateseka mwanetu?
Hapa town lazima uchague moja, ukae sehemu ambayo utalipia kodi kubwa utumie nauli kidogo ama ukae sehemu utalipia kodi kidogo na utumie nauli kubwa.πŸ˜‚
 
Hapa town lazima uchague moja, ukae sehemu ambayo utalipia kodi kubwa utumie nauli kidogo ama ukae sehemu utalipia kodi kidogo na utumie nauli kubwa.πŸ˜‚
vinaingilianaje na chapati maharage?
 
Kama Kuna muingiliano wa ngozi hii ya Yako, hakuna kitu hamna huko kila kitu kipo huko
 
Ufaransa na Italia wanakula utumbo kuliko unavyofikiria, sema tu unaitwa Tripe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…