othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Mbona wewe hujaenda kwenye kilimo kutwa upo kwenye coridor za lumumba kusubiri pampas za mzee wasi ukatupe jalalani, hahahahaaaassCalm down gentleman,
ni muhimu sana kuzingatia mawaidha yangu muhimu bila mihemko,
zipo ajira za uhakika na za kuwatosha waTanzania wote kwenye kilimo, ili hatimae kuondoa unyonge wa kiuchmi, mihemko na ghadhabu mnapoambiwa ukweli 🐒
Ni Whatsapp group au?..group halijawafurahisha wenye neema?Wasajili jumuia yao
Pamoja na hoja walizonazo NETO lakini siwalaumu polisi kutaka kujua kilichopo/waliopo nyuma yao kwani hata akina Dr.Ulimboka walikuwa na hoja bahati mbaya tu Dr.Ulimboka alikuwa ni TV tu na wenye REMOTE walikuwa ni CHAMA KIKUU CHA UPINZANI NCHINI.....Yaan Kwa vile mlizoea chama cha walimu ambao kimsingi viongozi wake ni mapandikizi, Vijana wamewashtua, mnaanza kuhaha, kutafuta suluhisho Kwa Vijana ,nyie mnawapa majina mabaya ,wahalifu, wavunja Amani ,Magaidi .
Khaaa?? This is a shame !!.
Mambo mengine ni kujidhalilisha kupita kiasi.
Yaan Vijana wasokua na Ajira , wanaolalamikia Mfumo wa recruitment kwenye suala Zima la Ajira.
Mnakamata mwenyekiti, alafu msivyokua na Weledi Wala maarifa, Wala Busara, mnahusianisha NETO na Kikundi Cha Uhalifu ,Kikundi Cha kuvunja Amani?.
Soma Pia: Mwenyekiti wa walimu wasio na ajira (NETO) aachiwa kwa dhamana kwa shtaka la kujihusisisha na jumuiya isiyo na usajili
Kwa hii Mass unemployment ,.Poverty iliyopo Tanzania, Kwa muktadha wa Jeshi la Polisi, Kila Kada ikiamua kuanzisha Umoja wake, itakua Nchi imejaa waasi .
Nadhani Jeshi la Polisi liache kujiabisha namna hii !!
View: https://youtu.be/-63l5DKzqW4?si=_e4Rg_t5fP27Zh1P
Madhara ya kuwa na Rais comedian, yanamgusa kila mmoja wetu.Yaan Kwa vile mlizoea chama cha walimu ambao kimsingi viongozi wake ni mapandikizi, Vijana wamewashtua, mnaanza kuhaha, kutafuta suluhisho Kwa Vijana ,nyie mnawapa majina mabaya ,wahalifu, wavunja Amani ,Magaidi .
Khaaa?? This is a shame !!.
Mambo mengine ni kujidhalilisha kupita kiasi.
Yaan Vijana wasokua na Ajira , wanaolalamikia Mfumo wa recruitment kwenye suala Zima la Ajira.
Mnakamata mwenyekiti, alafu msivyokua na Weledi Wala maarifa, Wala Busara, mnahusianisha NETO na Kikundi Cha Uhalifu ,Kikundi Cha kuvunja Amani?.
Soma Pia: Mwenyekiti wa walimu wasio na ajira (NETO) aachiwa kwa dhamana kwa shtaka la kujihusisisha na jumuiya isiyo na usajili
Kwa hii Mass unemployment ,.Poverty iliyopo Tanzania, Kwa muktadha wa Jeshi la Polisi, Kila Kada ikiamua kuanzisha Umoja wake, itakua Nchi imejaa waasi .
Nadhani Jeshi la Polisi liache kujiabisha namna hii !!
View: https://youtu.be/-63l5DKzqW4?si=_e4Rg_t5fP27Zh1P
Haishangazi.... pamoja na hoja nzito za akina Dr.Ulimboka walijichanganya kwa kuwaingiza "wanasiasa wa upinzani".....Inashangaza sana
Point....Wasajili jumuia yao
Awesome.....Tunavyozidi kwenda ndani litakuja swala la uhalali wa uwepo wa hii asasi, na hapo wataanza ulizia usajili wao hapo tutawadumbukiza shimoni zaidi maana hairuhusiwi kuendesha asasi au taasisi ambayo haijasajiliwa Tz.
Embu tukae kimya sasa maana kupiga sana kelele kunaweza kukawa sio kuwasaidia tena.
Kikundi kina usajili?!!!unakatwa na nabii tito. vijana wapewe ajira.
Wasap group mnafanya mikutano!!..wasajiliNi Whatsapp group au?..group halijawafurahisha wenye neema?
Kikundi Cha CHAWA WA MAMA kina USAJILI wowote? HIlo kundi lenu la whatsap Lina USAJILI? Mpuuzi mmoja weweHichp kikundi hakitambuliki kisheria
Huo umoja umesajiliwa wapi?Yaan Kwa vile mlizoea chama cha walimu ambao kimsingi viongozi wake ni mapandikizi, Vijana wamewashtua, mnaanza kuhaha, kutafuta suluhisho Kwa Vijana ,nyie mnawapa majina mabaya ,wahalifu, wavunja Amani ,Magaidi .
Khaaa?? This is a shame !!.
Mambo mengine ni kujidhalilisha kupita kiasi.
Yaan Vijana wasokua na Ajira , wanaolalamikia Mfumo wa recruitment kwenye suala Zima la Ajira.
Mnakamata mwenyekiti, alafu msivyokua na Weledi Wala maarifa, Wala Busara, mnahusianisha NETO na Kikundi Cha Uhalifu ,Kikundi Cha kuvunja Amani?.
Soma Pia: Mwenyekiti wa walimu wasio na ajira (NETO) aachiwa kwa dhamana kwa shtaka la kujihusisisha na jumuiya isiyo na usajili
Kwa hii Mass unemployment ,.Poverty iliyopo Tanzania, Kwa muktadha wa Jeshi la Polisi, Kila Kada ikiamua kuanzisha Umoja wake, itakua Nchi imejaa waasi .
Nadhani Jeshi la Polisi liache kujiabisha namna hii !!
View: https://youtu.be/-63l5DKzqW4?si=_e4Rg_t5fP27Zh1P
Ukitaka kujua Ccm Ina watu wa hovyo!Umetoa ushauri wa hovyo kabisa mwaka huu
Kwani Chawa wa Mama umesajiliwa wapi!Huo umoja umesajiliwa wapi?
uliwahi wasikia wapi wakiitisha press conference na kutambulisha uongozii wao kitaifa?Kwani Chawa wa Mama umesajiliwa wapi!
Incase huna kumbu kumbu au umeamua kuwa mjinga Kwa lazimauliwahi wasikia wapi wakiitisha press conference na kutambulisha uongozii wao kitaifa?