Yaan Kwa vile mlizoea chama cha walimu ambao kimsingi viongozi wake ni mapandikizi, Vijana wamewashtua, mnaanza kuhaha, kutafuta suluhisho Kwa Vijana ,nyie mnawapa majina mabaya ,wahalifu, wavunja Amani ,Magaidi .
Khaaa?? This is a shame !!.
Mambo mengine ni kujidhalilisha kupita kiasi.
Yaan Vijana wasokua na Ajira , wanaolalamikia Mfumo wa recruitment kwenye suala Zima la Ajira.
Mnakamata mwenyekiti, alafu msivyokua na Weledi Wala maarifa, Wala Busara, mnahusianisha NETO na Kikundi Cha Uhalifu ,Kikundi Cha kuvunja Amani?.
Soma Pia: Mwenyekiti wa walimu wasio na ajira (NETO) aachiwa kwa dhamana kwa shtaka la kujihusisisha na jumuiya isiyo na usajili
Kwa hii Mass unemployment ,.Poverty iliyopo Tanzania, Kwa muktadha wa Jeshi la Polisi, Kila Kada ikiamua kuanzisha Umoja wake, itakua Nchi imejaa waasi .
Nadhani Jeshi la Polisi liache kujiabisha namna hii !!
View: https://youtu.be/-63l5DKzqW4?si=_e4Rg_t5fP27Zh1P