Hivi Weledi wa Jeshi Polisi Tanzania uko wapi? Umoja wa Waalimu wasokua na Ajira, sio Kikundi Cha Uhalifu Wala wavunja Amani

Calm down gentleman,
ni muhimu sana kuzingatia mawaidha yangu muhimu bila mihemko,

zipo ajira za uhakika na za kuwatosha waTanzania wote kwenye kilimo, ili hatimae kuondoa unyonge wa kiuchmi, mihemko na ghadhabu mnapoambiwa ukweli šŸ’
Mbona wewe hujaenda kwenye kilimo kutwa upo kwenye coridor za lumumba kusubiri pampas za mzee wasi ukatupe jalalani, hahahahaaaass
 
Tunavyozidi kwenda ndani litakuja swala la uhalali wa uwepo wa hii asasi, na hapo wataanza ulizia usajili wao hapo tutawadumbukiza shimoni zaidi maana hairuhusiwi kuendesha asasi au taasisi ambayo haijasajiliwa Tz.

Embu tukae kimya sasa maana kupiga sana kelele kunaweza kukawa sio kuwasaidia tena.
 
Yaan Kwa vile mlizoea chama cha walimu ambao kimsingi viongozi wake ni mapandikizi, Vijana wamewashtua, mnaanza kuhaha, kutafuta suluhisho Kwa Vijana ,nyie mnawapa majina mabaya ,wahalifu, wavunja Amani ,Magaidi .

Khaaa?? This is a shame !!.

Mambo mengine ni kujidhalilisha kupita kiasi.

Yaan Vijana wasokua na Ajira , wanaolalamikia Mfumo wa recruitment kwenye suala Zima la Ajira.

Mnakamata mwenyekiti, alafu msivyokua na Weledi Wala maarifa, Wala Busara, mnahusianisha NETO na Kikundi Cha Uhalifu ,Kikundi Cha kuvunja Amani?.

Soma Pia: Mwenyekiti wa walimu wasio na ajira (NETO) aachiwa kwa dhamana kwa shtaka la kujihusisisha na jumuiya isiyo na usajili

Kwa hii Mass unemployment ,.Poverty iliyopo Tanzania, Kwa muktadha wa Jeshi la Polisi, Kila Kada ikiamua kuanzisha Umoja wake, itakua Nchi imejaa waasi .

Nadhani Jeshi la Polisi liache kujiabisha namna hii !!

View: https://youtu.be/-63l5DKzqW4?si=_e4Rg_t5fP27Zh1P

Pamoja na hoja walizonazo NETO lakini siwalaumu polisi kutaka kujua kilichopo/waliopo nyuma yao kwani hata akina Dr.Ulimboka walikuwa na hoja bahati mbaya tu Dr.Ulimboka alikuwa ni TV tu na wenye REMOTE walikuwa ni CHAMA KIKUU CHA UPINZANI NCHINI.....

Wanasiasa huwa wana njia nyingi kufikia malengo yao.....
 
Yaan Kwa vile mlizoea chama cha walimu ambao kimsingi viongozi wake ni mapandikizi, Vijana wamewashtua, mnaanza kuhaha, kutafuta suluhisho Kwa Vijana ,nyie mnawapa majina mabaya ,wahalifu, wavunja Amani ,Magaidi .

Khaaa?? This is a shame !!.

Mambo mengine ni kujidhalilisha kupita kiasi.

Yaan Vijana wasokua na Ajira , wanaolalamikia Mfumo wa recruitment kwenye suala Zima la Ajira.

Mnakamata mwenyekiti, alafu msivyokua na Weledi Wala maarifa, Wala Busara, mnahusianisha NETO na Kikundi Cha Uhalifu ,Kikundi Cha kuvunja Amani?.

Soma Pia: Mwenyekiti wa walimu wasio na ajira (NETO) aachiwa kwa dhamana kwa shtaka la kujihusisisha na jumuiya isiyo na usajili

Kwa hii Mass unemployment ,.Poverty iliyopo Tanzania, Kwa muktadha wa Jeshi la Polisi, Kila Kada ikiamua kuanzisha Umoja wake, itakua Nchi imejaa waasi .

Nadhani Jeshi la Polisi liache kujiabisha namna hii !!

View: https://youtu.be/-63l5DKzqW4?si=_e4Rg_t5fP27Zh1P

Madhara ya kuwa na Rais comedian, yanamgusa kila mmoja wetu.
 
Imenikumbusha TAHLISO.....mimi na wenzangu tulikuwa na hoja nzito juu ya ule uchaguzi wa 2010...lengo ni kuwafanya wanafunzi wa vyuo vikuu wapige kura wakiwa vyuoni.....bahati mbaya "chama cha upinzani" kikapandikiza mambo yake kwa baadhi ya marais wa serikali za wanafunzi....wenye AKILI tulipong'amua TUKAINGIA MITINI kwani haiwezekani HOJA NZITO ziwafaidishe CHAMA KIKUU CHA UPINZANI kwa kuwa sisi hatukuwa WANASIASA wa kupingana na dola kisiasa.....

Kwa hiyo hizi MBANGA polisi wetu wana HAKI na WAJIBU wa kujua kilicho nyuma yake OTHERWISE uzembe unaweza kusababisha GRAVE CONSEQUENCES......

#Nchi Kwanza!
 
Tunavyozidi kwenda ndani litakuja swala la uhalali wa uwepo wa hii asasi, na hapo wataanza ulizia usajili wao hapo tutawadumbukiza shimoni zaidi maana hairuhusiwi kuendesha asasi au taasisi ambayo haijasajiliwa Tz.

Embu tukae kimya sasa maana kupiga sana kelele kunaweza kukawa sio kuwasaidia tena.
Awesome.....
 
Yaan Kwa vile mlizoea chama cha walimu ambao kimsingi viongozi wake ni mapandikizi, Vijana wamewashtua, mnaanza kuhaha, kutafuta suluhisho Kwa Vijana ,nyie mnawapa majina mabaya ,wahalifu, wavunja Amani ,Magaidi .

Khaaa?? This is a shame !!.

Mambo mengine ni kujidhalilisha kupita kiasi.

Yaan Vijana wasokua na Ajira , wanaolalamikia Mfumo wa recruitment kwenye suala Zima la Ajira.

Mnakamata mwenyekiti, alafu msivyokua na Weledi Wala maarifa, Wala Busara, mnahusianisha NETO na Kikundi Cha Uhalifu ,Kikundi Cha kuvunja Amani?.

Soma Pia: Mwenyekiti wa walimu wasio na ajira (NETO) aachiwa kwa dhamana kwa shtaka la kujihusisisha na jumuiya isiyo na usajili

Kwa hii Mass unemployment ,.Poverty iliyopo Tanzania, Kwa muktadha wa Jeshi la Polisi, Kila Kada ikiamua kuanzisha Umoja wake, itakua Nchi imejaa waasi .

Nadhani Jeshi la Polisi liache kujiabisha namna hii !!

View: https://youtu.be/-63l5DKzqW4?si=_e4Rg_t5fP27Zh1P

Huo umoja umesajiliwa wapi?
 
Umetoa ushauri wa hovyo kabisa mwaka huu
Ukitaka kujua Ccm Ina watu wa hovyo!
Linganisha Mkutano wa Chama Cha kikomunist Cha china (deligates wanaohudhuria) ni wasomi wa Hali ya juu ambao pia wapo katika maeneo mbali mbali yanayohusu maendeleo ya nchi kiuchumi, kijamii na kisiasa. Watu Hawa inaaminika kwamba mawazo Yao na michango Yao kwa kiasi kikubwa hutoa dira na mwelekeo wa taifa.
Angalia mkutano mkuu wa Ccm Dodoma, aina ya watu wanaohudhuria na kwenda kutoa maamuzi ni watu wa aina ya Tlatlah, wasanii na waganga wa kienyeji ambao dhima Yao ni kufanya Ccm ikubalike sababu inatakwa midomoni mwao, na sio kwamba imeweza kuonesha njia ya kuwaletea watanzania maendeleo ya kweli!
Kwa muktadha huo basi ni sahihi watu wanaoonekana kuwakumbusha Watawala kwamba, unemployment ni kipimo Cha umasikini mkubwa wanaoonekana ni wahalifu katika nchi Yao!
 
Back
Top Bottom