Mrengwa wa kulia
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,091
- 3,695
Super pawa la Kibisa. linapelekeshwa
Walishindwa kuiteka kyev ilio lindwa Kwa Javellina tu.
Wamekimbilia sehem ambapo palishaoza napo bado wanahenya kupachukua.
Walitegemea Ukraine itaweka nguvu zote pale Donbass na kuacha sehemu kubwa ya Ukraine au kyiv haina Ulinzi wa kutosha. Mayokeo yake wamefail.
Wenzao hadi leo wanapigana kwa majavelin tu. Hawana strong air defence wala midege sana sana mizinga ya kisoviet.
Eti wanapewa misaada na zaid ya nchi 40 waulize misaada gani?
jibu: Javeline na vifaru. na hivi karibuni HIMARS za Kilomita 40!!!!!
So unamaanisha silaha zote za Russia znapambana na hvi visilaha visivo kua hata na jina.
Ukraine ipo Naked maana ilikuwepo Toka USSR na silaha za USSR Rusia inajua zinapo hifadhiwa achilia mbali kambi za kijeshi. na mtu unajua zelensky anaish ikulu. Maliza mchezo basi. wewe si una hypersonic Intercontinental Missaels wewe.
Matokeo yake unafumbata mikombora usijue unashambulia wapi.
Sipati picha siku zikija yale madude ya Nato.
Zikija F-35 mbili tu zikipenya pale russia kutakua na cremlin tena kweli?
ikiwa helicopta mbili za ukraine zinaingia russia na kutoka utafkir nchi haina Su3000.
Supa pawa anashambuliwa kwa Drones. Seriously? drone za Millardayo zinasumbua front line balaa.
Shame on you Russia. Russia umenivunja Moyo.