Hivi wenzangu huyu ‘Super Power’ Urusi mnamwelewa?

Super pawa la Kibisa. linapelekeshwa
Walishindwa kuiteka kyev ilio lindwa Kwa Javellina tu.

Wamekimbilia sehem ambapo palishaoza napo bado wanahenya kupachukua.

Walitegemea Ukraine itaweka nguvu zote pale Donbass na kuacha sehemu kubwa ya Ukraine au kyiv haina Ulinzi wa kutosha. Mayokeo yake wamefail.

Wenzao hadi leo wanapigana kwa majavelin tu. Hawana strong air defence wala midege sana sana mizinga ya kisoviet.

Eti wanapewa misaada na zaid ya nchi 40 waulize misaada gani?
jibu: Javeline na vifaru.

So unamaanisha silaha zote za Russia znapambana na hvi visilaha visivo kua hata na jina.

Ukraine ipo Naked maana ilikuwepo Toka USSR na silaha za USSR Rusia inajua zinapo hifadhiwa achilia mbali kambi za kijeshi. na mtu unajua zelensky anaish ikulu. Maliza mchezo basi. wewe si una hypersonic Intercontinental Missaels wewe.

Matokeo yake unafumbata mikombora usijue unashambulia wapi.

Sipati picha siku zikija yale madude ya Nato.

Zikija F-35 mbili tu zikipenya pale russia kutakua na cremlin tena kweli?

ikiwa helicopta mbili za ukraine zinaingia russia na kutoka utafkir nchi haina Su3000.

Supa pawa anashambuliwa kwa Drones. Seriously?

Shame on you Russia. Russia umenivunja Moyo.
Jamaa hili halina focus limevurugwa kama binti wa pwani limebaki kubwabwaja tu
 
Neutral km nchi yangu
Duhh, watu mnaroho ngumu sana.
Hao hao waliouwa maelfu ya civilians nchi za kiislamu, wameuwa viongozi wao (saddam na gadafi) na kuwaacha raia wakiuwana wao kwa wao na wengine kuyakimbia makazi yao!!!
 
Kwani Marekani kapigana na wale wavaa sendo na kanzu kwa muda gani mpaka kuamua kuwakimbia na kuwaachia n hi, unajua ni majeneza kiasi gani yalikua yanarudishwa Marekani kwa siri siri bila wao kutangaza, ama unadhani uamuzi wao wa kuwaachia nchi Taliban ni wa kijinga na wamekurupuka tu. Niambie wamepigana na Taliban kwa miaka mingapi tena hawana misaada ya silaha kama Ukraine. Ukraine ana silaha na kila leo anapewa, je wangepewa Taliban ingekuwaje? Watu walipigana na Marekani hawana hata kombati, wao wana sendo na kanzu tena sendo zimechoka hatari na bado wamewatoa kamasi
 
hayo majeneza ya siri wewe mtu wa makutupora umeyajuaje.
watu wa mkoga mimba vingunguti mna intelijensia kali sana.

unafkri kisa USA anapigana na taliban ndo ahatarishe maisha ya askar wake watukufu kizembe?

au ulisha skia ndege ngap za USA zilidunguliwa Afgastan?
 
Super pawa la Kibisa. linapelekeshwa
Walishindwa kuiteka kyev ilio lindwa Kwa Javellina tu.

Wamekimbilia sehem ambapo palishaoza napo bado wanahenya kupachukua.

Walitegemea Ukraine itaweka nguvu zote pale Donbass na kuacha sehemu kubwa ya Ukraine au kyiv haina Ulinzi wa kutosha. Mayokeo yake wamefail.

Wenzao hadi leo wanapigana kwa majavelin tu. Hawana strong air defence wala midege sana sana mizinga ya kisoviet.

Eti wanapewa misaada na zaid ya nchi 40 waulize misaada gani?
jibu: Javeline na vifaru. na hivi karibuni HIMARS za Kilomita 40!!!!!

So unamaanisha silaha zote za Russia znapambana na hvi visilaha visivo kua hata na jina.

Ukraine ipo Naked maana ilikuwepo Toka USSR na silaha za USSR Rusia inajua zinapo hifadhiwa achilia mbali kambi za kijeshi. na mtu unajua zelensky anaish ikulu. Maliza mchezo basi. wewe si una hypersonic Intercontinental Missaels wewe.

Matokeo yake unafumbata mikombora usijue unashambulia wapi.

Sipati picha siku zikija yale madude ya Nato.

Zikija F-35 mbili tu zikipenya pale russia kutakua na cremlin tena kweli?

ikiwa helicopta mbili za ukraine zinaingia russia na kutoka utafkir nchi haina Su3000.

Supa pawa anashambuliwa kwa Drones. Seriously? drone za Millardayo zinasumbua front line balaa.

Shame on you Russia. Russia umenivunja Moyo.
Toka ndotoni mabeberu wote, ulaya na America wamewekezamo nguvu zao na Bado vikwazo uchwara ila Bado Mwamba anawabananisha,unaleta porojo zako hapa,angalia TU hapo Zaponhrihnzia,hajaamua TU kumaliza kazi pale Kyvi🤔.ukitaka kujua muulize BoJo kakutwa na nini,Akina Gragi,mjanja TU ni victor Orban na Recep Erdogan wengine wote mapoyoyo pamoja na beberu mkuu marekani 🤸
 
Back
Top Bottom