Hivi wenzangu huyu ‘Super Power’ Urusi mnamwelewa?

Hivi wenzangu huyu ‘Super Power’ Urusi mnamwelewa?

Ushakula karanga za kuchemsha, umechana mkeka, bando ndo linaishia, unasbiria simu ya mshkaji ukuunganishe kwenye dili la kupakia mizigo kwenye mafuso eti umepata akili ya Uchambuz wa siasa za kimataifa tena unamjadli Vladimir Putin na Russia yake aisee...
 
NATO wanaiweza Urusi tu kwenye kutatuliwa marinda. Kwani 90% ya wanato na mashabiki zao hawana marinda

Warusi wa kibaigwa wakiishiwa hoja wanaleta personal attacking mambo ya marinda yanakujaje sasa apa. mnayapenda kweli kuyaongelea.
 
mimi napenda miakili ya UE wanamchora tu na kumjaza wao wanatunga sheria zao wakiingia wameingia, leo Russia anatumia nguvu nyingi na mipesa mingi wakija NATO ni ambush ya wiki moja tu chali
Si useme tu ukweli kuwa wanamuogopa[emoji1787][emoji1787][emoji16], hakuna hili wala lile kuwa mkeli tu
 
Mkuu vita huwa sio ya mchezo mchezo mbona superpower wa EA alitolewa kamasi na akina Hamza au mpaka tumuite MK254 aeleze walipoteza manyang'au kiasi gani hapo Kismayu
 
super pawa la Kibisa.
linapelekeshwa
Walishindwa kuiteka kyev ilio lindwa Kwa Javellina tu.
wamekimbilia sehem ambapo palishaoza napo bado wanahenya kupachukua.
walitegemea Ukraine itaweka nguvu zote pale Donbass na kuacha sehemu kubwa ya Ukraine au kyiv haina Ulinzi wa kutosha. Mayokeo yake wamefail. wenzao hadi leo wanapigana kwa majavelin tu. hawana strong air defence wala midege sana sana mizinga ya kisoviet.

etbwanapewa misaada na zaid ya nchi 40
waulize misaada gani?
jibu: Javeline na vifaru.
so unamaanisha silaha zote za russia znapambana na hvi visilaha visivo kua hata na jina.

ukraine ipo Naked maana ilikuwepo Toka USSR na silaha za USSR Rusia inajua zinapo hifadhiwa achilia mbali kambi za kijeshi. na mtu unajua zelensky anaish ikulu. Maliza mchezo basi. wewe si una hypersonic Intercontinental Missaels wewe.

matokeo yake unafumbata mikombora usijue unashambulia wapi.

Sipati picha siku zikija yale madude ya Nato
zikija F-35 mbili tu zikipenya pale russia kutakua na cremlin tena kweli?
ikiwa helicopta mbili za ukraine zinaingia russia na kutoka utafkir nchi haina Su3000.
supapawa anashambuliwa kwa Drones.
seriously?

shame on you Russia
Russia umenivunja Moyo.

Vipi tandale huko hamujambo??
 
mimi napenda miakili ya UE wanamchora tu na kumjaza wao wanatunga sheria zao wakiingia wameingia, leo Russia anatumia nguvu nyingi na mipesa mingi wakija NATO ni ambush ya wiki moja tu chali

Uko upande wa nani? Nato or urusi?
 
Hahaaaaaaaaaa Sio kwa funny dramas hizi kwenye hi thread 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
super pawa la Kibisa.
linapelekeshwa
Walishindwa kuiteka kyev ilio lindwa Kwa Javellina tu.
wamekimbilia sehem ambapo palishaoza napo bado wanahenya kupachukua.
walitegemea Ukraine itaweka nguvu zote pale Donbass na kuacha sehemu kubwa ya Ukraine au kyiv haina Ulinzi wa kutosha. Mayokeo yake wamefail. wenzao hadi leo wanapigana kwa majavelin tu. hawana strong air defence wala midege sana sana mizinga ya kisoviet.

etbwanapewa misaada na zaid ya nchi 40
waulize misaada gani?
jibu: Javeline na vifaru.
so unamaanisha silaha zote za russia znapambana na hvi visilaha visivo kua hata na jina.

ukraine ipo Naked maana ilikuwepo Toka USSR na silaha za USSR Rusia inajua zinapo hifadhiwa achilia mbali kambi za kijeshi. na mtu unajua zelensky anaish ikulu. Maliza mchezo basi. wewe si una hypersonic Intercontinental Missaels wewe.

matokeo yake unafumbata mikombora usijue unashambulia wapi.

Sipati picha siku zikija yale madude ya Nato
zikija F-35 mbili tu zikipenya pale russia kutakua na cremlin tena kweli?
ikiwa helicopta mbili za ukraine zinaingia russia na kutoka utafkir nchi haina Su3000.
supapawa anashambuliwa kwa Drones.
seriously?

shame on you Russia
Russia umenivunja Moyo.
Pro nato now mmeshakuwa wapuuz kias hk

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]make hapa kwanza nicheke.
Hii urusi unayoiita dhaifu ndiyo hiyohiyo mataifa ya ulaya yanayokaa vikao mara Brussels sijui Warsaw kuijadiri.

Urusi unayoiita dhaifu ndiyo hiyohiyo inayopiga makombora hadi magharibi mwa Ukrein huko Lyviv yakitokea kwenye anga na ardhi ya urusi.

Urusi hii dhaifu ndiyo hiyohiyo NATO na EU wanaogopa kuingia moja kwa moja kwenye vita nayo.

Urusi hiyohiyo dhaifu ndiyo inayomfanya Assad aendelee kukalia kiti cha urais pale Syria dhidi ya USA na wale wapuuzi waasi.

Urusi hakukurupuka kwenye hii vita ashakuwepo kwenye vita miaka kadhaa hapo nyuma dhidi ya Chechnya etc

Urusi yuko gentle sana anapiga maeneo yenye hifadhi za silaha, maeneo ya kijeshi, misafara ya kuingiza silaha za kijeshi nchini, makambi ya mafunzo ya NATO nchini Ukraine etc

The truth is hii operesheni maalumu ya kijeshi ingeweza kukamilika hata kwa siku mbili but ingekuwa lethal sana, watu wengi wangekufa, majengo na miundombinu ingeharibika kila eneo, so kwa kulijua hili urusi anaenda na ukrain6 mdogo mdogo. Juzi hapa wale fighters wa sevioredonetsk wameambiwa waondoke maana hawakuwa na uwezekano wa kuyarudisha nyuma majeshi ya urusi, wangezingirwa either wafe au wawe mateka wa kivita ,sasa huoni inakuwa hasara kuacha makamanda wako wafe ktk eneo unalojua kushinda haiwezekan thus wakaretreat LAKINI bado cluster bombs zikawahusu huko huko wanakokimbilia

So urusi muacheni kama urusi

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
mimi napenda miakili ya UE wanamchora tu na kumjaza wao wanatunga sheria zao wakiingia wameingia, leo Russia anatumia nguvu nyingi na mipesa mingi wakija NATO ni ambush ya wiki moja tu chali
Hivi unajua USA anetumia SH ngapi mpaka sasa kuisaidia ukrain. Haijawai kutokea kwenye historia ya marekani. Hivi unajua kuwa bunge la usa limegawanyika mpaka sasa kuhusu kuisaidia ukrain. Acha kuongea utumbo kama hujui
 
mimi napenda miakili ya UE wanamchora tu na kumjaza wao wanatunga sheria zao wakiingia wameingia, leo Russia anatumia nguvu nyingi na mipesa mingi wakija NATO ni ambush ya wiki moja tu chali

UE ndo nini sasa? Yaani spana zimewachanganya kiasi hiki?
 
Russia full brain anampiga Ukraine tartib bila yeye kuathirika Wala kuchoka ,bse
1. Anatumia zaidi oldest USSR military equips
2.Anauza gesi,mafuta,mazao,mbolea,silaha kwa faida kubwa kuliko kwa rubble
3.Anatumia zaidi silaha anazoteka Ukraine za NATO na USA
4. Anaingiza pesa mingi kwa maeneo aliyoteka Ukraine strategically kachukua maeneo ya viwanda vikubwa, bandari zote karibia eneo lote karibia na mpaka wake analicontrol
5.Alijiandaa na hii Vita na vita nyinginezo for long time of past decades kwa. Silaha, jeshi, chakula etc
6. Ana nuclear warhead nyingi na kubwa kuliko Taifa lolote duniani.
7.Anga la Russia ukiondoa S-500-600 ambayo nj mifumo Bora kuliko mifumo yote ya ulinzi wa anga duniani, wameadd nuclear ktk mifumo hiyo ya anga,kiasi ukimuattach russia mifumo inauwezo was kuditect na kulipuua Auto nuke,
8.Russia ana eneo la kilometer za mraba 17million (USA+China )
Leo duniania ipo huru mitandao mpaka maiti wanawasiliana kaburini kwa sanbabu tuu Russia kanyang'anywa umwamba.

Zile sera za operesheni vijiji , sogeza, kamatakamata wazururulaji na kuimbia viongozi zote zilifanya Urusi kuwa na siraha kama hizo.
Utashangaa hapo utakapo shuhudia Russia inagawanywa vipande vipande mara nne na hayo masilaha yote kubaki kama makumbusho tuu. Hivi jamani hatuja jifunza jinsi Mjerumani alivyo sambaratishwa mwaka 1945 na nchi hiyo kugawiwa mashariki na magharibi? Ujerumani ilikuwa na siraha kubwa na kali sana kupita nchi zote za Ulaya lakini leo hii ipo wapi? usicheze na mataifa yaliyomtangaza mungu na mwanaye yesu kristo duniani(NATO) yakiamua kukuliza.
 
Hivi unajua USA anetumia SH ngapi mpaka sasa kuisaidia ukrain. Haijawai kutokea kwenye historia ya marekani. Hivi unajua kuwa bunge la usa limegawanyika mpaka sasa kuhusu kuisaidia ukrain. Acha kuongea utumbo kama hujui
acha mrusi achapwe na NATO la sivyo pasingekuwa na demokrasia duniani wala maraisi kutawala kwa term mbili au moja. pangekuwa na mtawalla mmoja madarakani anatwala milele. soma kitabu kiitwa cho Rise and fall of soviet empire kimetungwa na Brian Crozier. utashangaa malengo ya Boris Pugo na wenzake.wewe kama mpaka leo hujui madhara ya mtu mmoja kutawala wenzake milele basi" kama wewe ni mkubwa i huo ni mkoooosi eeenh"!
 
Mimi mpaka sasa naishangaa sana Urusi.
 
Leo duniania ipo huru mitandao mpaka maiti wanawasiliana kaburini kwa sanbabu tuu Russia kanyang'anywa umwamba.

Zile sera za operesheni vijiji , sogeza, kamatakamata wazururulaji na kuimbia viongozi zote zilifanya Urusi kuwa na siraha kama hizo.
Utashangaa hapo utakapo shuhudia Russia inagawanywa vipande vipande mara nne na hayo masilaha yote kubaki kama makumbusho tuu. Hivi jamani hatuja jifunza jinsi Mjerumani alivyo sambaratishwa mwaka 1945 na nchi hiyo kugawiwa mashariki na magharibi? Ujerumani ilikuwa na siraha kubwa na kali sana kupita nchi zote za Ulaya lakini leo hii ipo wapi? usicheze na mataifa yaliyomtangaza mungu na mwanaye yesu kristo duniani(NATO) yakiamua kukuliza.
Ukimaliza kuota uamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unajua USA anetumia SH ngapi mpaka sasa kuisaidia ukrain. Haijawai kutokea kwenye historia ya marekani. Hivi unajua kuwa bunge la usa limegawanyika mpaka sasa kuhusu kuisaidia ukrain. Acha kuongea utumbo kama hujui
Mrusi nae anatumia shilling ngapi kupambana na ka nchi kadogo jirani yake
 
Back
Top Bottom