Hivi wenzangu huyu ‘Super Power’ Urusi mnamwelewa?

Ushakula karanga za kuchemsha, umechana mkeka, bando ndo linaishia, unasbiria simu ya mshkaji ukuunganishe kwenye dili la kupakia mizigo kwenye mafuso eti umepata akili ya Uchambuz wa siasa za kimataifa tena unamjadli Vladimir Putin na Russia yake aisee...
 
NATO wanaiweza Urusi tu kwenye kutatuliwa marinda. Kwani 90% ya wanato na mashabiki zao hawana marinda

Warusi wa kibaigwa wakiishiwa hoja wanaleta personal attacking mambo ya marinda yanakujaje sasa apa. mnayapenda kweli kuyaongelea.
 
mimi napenda miakili ya UE wanamchora tu na kumjaza wao wanatunga sheria zao wakiingia wameingia, leo Russia anatumia nguvu nyingi na mipesa mingi wakija NATO ni ambush ya wiki moja tu chali
Si useme tu ukweli kuwa wanamuogopa[emoji1787][emoji1787][emoji16], hakuna hili wala lile kuwa mkeli tu
 
Mkuu vita huwa sio ya mchezo mchezo mbona superpower wa EA alitolewa kamasi na akina Hamza au mpaka tumuite MK254 aeleze walipoteza manyang'au kiasi gani hapo Kismayu
 
Vipi tandale huko hamujambo??
 
mimi napenda miakili ya UE wanamchora tu na kumjaza wao wanatunga sheria zao wakiingia wameingia, leo Russia anatumia nguvu nyingi na mipesa mingi wakija NATO ni ambush ya wiki moja tu chali

Uko upande wa nani? Nato or urusi?
 
Hahaaaaaaaaaa Sio kwa funny dramas hizi kwenye hi thread 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Pro nato now mmeshakuwa wapuuz kias hk

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]make hapa kwanza nicheke.
Hii urusi unayoiita dhaifu ndiyo hiyohiyo mataifa ya ulaya yanayokaa vikao mara Brussels sijui Warsaw kuijadiri.

Urusi unayoiita dhaifu ndiyo hiyohiyo inayopiga makombora hadi magharibi mwa Ukrein huko Lyviv yakitokea kwenye anga na ardhi ya urusi.

Urusi hii dhaifu ndiyo hiyohiyo NATO na EU wanaogopa kuingia moja kwa moja kwenye vita nayo.

Urusi hiyohiyo dhaifu ndiyo inayomfanya Assad aendelee kukalia kiti cha urais pale Syria dhidi ya USA na wale wapuuzi waasi.

Urusi hakukurupuka kwenye hii vita ashakuwepo kwenye vita miaka kadhaa hapo nyuma dhidi ya Chechnya etc

Urusi yuko gentle sana anapiga maeneo yenye hifadhi za silaha, maeneo ya kijeshi, misafara ya kuingiza silaha za kijeshi nchini, makambi ya mafunzo ya NATO nchini Ukraine etc

The truth is hii operesheni maalumu ya kijeshi ingeweza kukamilika hata kwa siku mbili but ingekuwa lethal sana, watu wengi wangekufa, majengo na miundombinu ingeharibika kila eneo, so kwa kulijua hili urusi anaenda na ukrain6 mdogo mdogo. Juzi hapa wale fighters wa sevioredonetsk wameambiwa waondoke maana hawakuwa na uwezekano wa kuyarudisha nyuma majeshi ya urusi, wangezingirwa either wafe au wawe mateka wa kivita ,sasa huoni inakuwa hasara kuacha makamanda wako wafe ktk eneo unalojua kushinda haiwezekan thus wakaretreat LAKINI bado cluster bombs zikawahusu huko huko wanakokimbilia

So urusi muacheni kama urusi

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
mimi napenda miakili ya UE wanamchora tu na kumjaza wao wanatunga sheria zao wakiingia wameingia, leo Russia anatumia nguvu nyingi na mipesa mingi wakija NATO ni ambush ya wiki moja tu chali
Hivi unajua USA anetumia SH ngapi mpaka sasa kuisaidia ukrain. Haijawai kutokea kwenye historia ya marekani. Hivi unajua kuwa bunge la usa limegawanyika mpaka sasa kuhusu kuisaidia ukrain. Acha kuongea utumbo kama hujui
 
mimi napenda miakili ya UE wanamchora tu na kumjaza wao wanatunga sheria zao wakiingia wameingia, leo Russia anatumia nguvu nyingi na mipesa mingi wakija NATO ni ambush ya wiki moja tu chali

UE ndo nini sasa? Yaani spana zimewachanganya kiasi hiki?
 
Leo duniania ipo huru mitandao mpaka maiti wanawasiliana kaburini kwa sanbabu tuu Russia kanyang'anywa umwamba.

Zile sera za operesheni vijiji , sogeza, kamatakamata wazururulaji na kuimbia viongozi zote zilifanya Urusi kuwa na siraha kama hizo.
Utashangaa hapo utakapo shuhudia Russia inagawanywa vipande vipande mara nne na hayo masilaha yote kubaki kama makumbusho tuu. Hivi jamani hatuja jifunza jinsi Mjerumani alivyo sambaratishwa mwaka 1945 na nchi hiyo kugawiwa mashariki na magharibi? Ujerumani ilikuwa na siraha kubwa na kali sana kupita nchi zote za Ulaya lakini leo hii ipo wapi? usicheze na mataifa yaliyomtangaza mungu na mwanaye yesu kristo duniani(NATO) yakiamua kukuliza.
 
Hivi unajua USA anetumia SH ngapi mpaka sasa kuisaidia ukrain. Haijawai kutokea kwenye historia ya marekani. Hivi unajua kuwa bunge la usa limegawanyika mpaka sasa kuhusu kuisaidia ukrain. Acha kuongea utumbo kama hujui
acha mrusi achapwe na NATO la sivyo pasingekuwa na demokrasia duniani wala maraisi kutawala kwa term mbili au moja. pangekuwa na mtawalla mmoja madarakani anatwala milele. soma kitabu kiitwa cho Rise and fall of soviet empire kimetungwa na Brian Crozier. utashangaa malengo ya Boris Pugo na wenzake.wewe kama mpaka leo hujui madhara ya mtu mmoja kutawala wenzake milele basi" kama wewe ni mkubwa i huo ni mkoooosi eeenh"!
 
Mimi mpaka sasa naishangaa sana Urusi.
 
Ukimaliza kuota uamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unajua USA anetumia SH ngapi mpaka sasa kuisaidia ukrain. Haijawai kutokea kwenye historia ya marekani. Hivi unajua kuwa bunge la usa limegawanyika mpaka sasa kuhusu kuisaidia ukrain. Acha kuongea utumbo kama hujui
Mrusi nae anatumia shilling ngapi kupambana na ka nchi kadogo jirani yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…