Hivi "Weusi" wanaimba lugha gani wadau kwenye nyimbo zao?

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hizi comments sasa
 
Wanaendesha maisha yao na ndo walivyochagua..huelewi wanachokiimba unaachana nao na unafanya mambo yako
Kama hujaelewa jua hujalengwa, huelewi Hip Hop tega sikio kwenye Taarabu - Msodoki the Son
 
Ukitaka kujifunza hizo lugha njoo Arusha halafu nenda kaishi maeneo ya Daraja 2 karibu na pande za Bwawa la Mavi au UNGA LIMITED wao wanaita pande za NGALIMI!
Daa,Unga Limited,Kona ya Mbauda ni maeneo ya watemi wa Arusha(tukale wapi)
 
Unenge ni njaaa
Swagire ni Swaga
Usikae kiree ni usikae kijinga/kiboya
Kiraruraru ni ukame au kiu ya kufanya ngono
Haaaaaaaa aaaahaahhhahahaa Jina la aliyetafsir sasa hahahhhaaaaaaaaaaaaaaa karibun maji wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…