Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
Hajanibless bn! Ningeichapa mbona ningewapa feedback nlivoikula.Mpaji Mungu njoo ujibu hapa..!! 😹
Hajanibless bn! Ningeichapa mbona ningewapa feedback nlivoikula.Mpaji Mungu njoo ujibu hapa..!! 😹
Akubless anaonekana ana vitu vyako huyu..!! 😹Hajanibless bn! Ningeichapa mbona ningewapa feedback nlivoikula.
na wew ukapata mpenzi au upo singo hutak mapenzHahahahahaha..
Maisha yameendela vyema sana
Mwambie aselfike nimuone angle zote.Akubless anaonekana ana vitu vyako huyu..!!
Sijui alipotelea wapi!!!Bro, I miss you 😢
Hauna namba zake tumpigie? 😹Sijui alipotelea wapi!!!
Kwani hujawahi kumuona akiselfika?Mwambie aselfike nimuone angle zote.
Ebu mshawishi aselfike nianze uwekezaji kabla ushamba wa hizi chenchi nazookota haujanitoka.Kwani hujawahi kumuona akiselfika?
Black beauty mmoja wa moto sana 🔥🔥
Mwisho ni mwisho tu, matendo yanaongea kuliko maneno.Sijui ndio nimeachwa au sijui bado nipo kwenye penzi, hata sielewi, maana hizi dalili za mpenzi wangu naona kama mguu mmoja ndani mguu mmoja nje.
Hivi mtu akikuacha anakwambia au anakaa kimya tu?
Hakuna kanuni ya kuachana.Sijui ndio nimeachwa au sijui bado nipo kwenye penzi, hata sielewi, maana hizi dalili za mpenzi wangu naona kama mguu mmoja ndani mguu mmoja nje.
Hivi mtu akikuacha anakwambia au anakaa kimya tu?
Umeamua ku'act uzungu bro...bado hujasema!Aisee watu wana roho ngumu, me huwa siwaprovoke women lakin i just go with the flow, she provokes me i stay quiet , she acts weird i stay quiet... akiona umekausha anakaa kimya na yeye.. akipigwa tukio ndio akili zinamrudi kwamba alikosea
Mi ni nani 😂Uliachika kichogo 😹😹😹
Pole 😹Mi ni nani 😂
😂😂😂😂😂😂wewe khaaaaaaaaaaaahMpaji Mungu njoo ujibu hapa..!! 😹