Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina nini Preta? I have something similar to the dude
Sijaona sherehe zaidi ya kufurahia party ambayo kaandaliwa!!Mumewe anaendelea kutumikia kifungo, yeye kalipiwa faini anafanya sherehe.
Aisee, avatar yako siipendi. Inanichefua sana. Mpaka nashindwa kuendelea kusoma michango ya watu wengine. Sorry lakini.
Ohhh Pole sana, the feelings are mutual subject to your avatar, hulazimishwi kuiangalia by the way i look like the dude, so take it as it is or pita kimya, I am not an entertainer!
oooh hell no.....aghhrrr....puliiiz.......
dah....we jamaa bana hii avatar yako.......