Hivi wewe ungekuwa ndugu wa mume wa mwanamke huyu ungejisikiaje

... misanii ya bongo iko vere opochunist.....! kweli kabisa haoneshi hata dalili kama mume wake yupo lupango! Utasikia sasa hivi ANAMIMBA na predeshee mwingine
 
Ndio watu gani hao mnaowazungumzia,tuambieni basi na sisi tuwajue.
 
Miaka saba kwenye uhai si mingi ,tumwombee jamaa atoke jela waje warudiane na mkewe kipenzi
 
Namuunga mkono aliyesema; ''Mke siyo ndugu yako'' !!!
 
"Hapendwi mtu inapendwa pesa" Ndio misemo yao wadada. Jamaa gerezani hatafuti pesa.
 
Matatizo yako wapi....sasa mlitaka ahuzunike tu
 
Aisee, avatar yako siipendi. Inanichefua sana. Mpaka nashindwa kuendelea kusoma michango ya watu wengine. Sorry lakini.

Ohhh Pole sana, the feelings are mutual subject to your avatar, hulazimishwi kuiangalia by the way i look like the dude, so take it as it is or pita kimya, I am not an entertainer!
 
Ohhh Pole sana, the feelings are mutual subject to your avatar, hulazimishwi kuiangalia by the way i look like the dude, so take it as it is or pita kimya, I am not an entertainer!

Mkuu ningeona kitufe cha like ningekugongea za kufa mtu in fact umemjibu vizuri.
 
nakawinda haka ka kajala...toto lina tupwisa balaaa bababeki...imagine totozi kama hii imevaa kanga afu imeloana aiseeeeee...uzuri wa tz ndio huu tu....majuu najua mnameza mate......maanz shori za kibongo majuu zinakuza nido na matumbo....
 
Wabongo bhana sasa ulitaka afanye nini ngoja kwanza watu watafune 0712 yake kwanza kitaa Jr
 
Jamani eeeh, tufahamisheni basi mi mpaka sasa sijajua hivyo viumbe vinavyozungumziwa hapa, ni viumbe gani hivyo?
 
kama nyie ni wale mnaoendelea kuamini kwenye NDOA basi kalaghabaho....kinachofanyika ni makubaliano tu ya kuishi pamoja kusukuma siku....Sanasana kinachofanyika maigizo ya kuvaa suti na shela, kuingia kanisani...(kwa bahati mbaya viongozi wetu wa dini nao ni wale wale) wanaalikwa watu waje wanywe wafurahi siku zisigande....Hali halisi ilivyo ni kwa mwanadada kufuata pesa na mwanakaka anafuata ulimbwende(au anachokijua) "siri kumoyo". Hapo alipo bibie hana hata habari za jamaa aliye nyuma ya nondo...na mkimkuta eti analia amemkumbuka jamaa ujue asilimia tisini ni "uigizaji tu"...
 
lkn japo angekuwa na huzuni kama alimpenda kwa dhati mumewecoz hubby wake bado yupo jela..bt dis is hw digital love is
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…